OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Haiwezekeni mchezaji makini aliejindaa kwa mechi afunge bao kwa mkono. Goli kama hilo litafutwa na refa. Naomba wananchi wapuuzie maneno ya upuuzi kama hayo.
kufunga goli la mkono ni faul na moja kwa moja litakataliwa na refa ambayo ni tume ya uchaguzi. Kauli mbaya kama hizo zinaweza kufanya wananchi kukosa imani na serikali na kuleta machafuko na ninaamini haya ninayoyasema ndio msimamo wa chama changu... Pius Msekwa.... 2.07.2015 (ITV, kipindi cha Mzelendo)....
hivi nape alizaliwa au alijambwa?
Ubunge wake enzi hizo!Hata huyu Mzee amepima haliya hewa akaona asawazishe ki style.Ni kweli Mzee Msekwa hajui kama Chama chake ni mabingwa wa magori hayo?.Team yake haijawahi kufunga gori lahivyo nayeye akiwemo kwenye team?,aache kutuhadaa na ajue tunatambua kauli hiyo ya Nape ndi kauli ya Chama chao
huyu mzee ni kweli hakuna haja ya kufunga gori la mkono kama ccm watampitisha mtu ambaye amewatumikia watanzania wote kona zote ambao ndo wapiga kura ,wananchi kama umewatumika hawana shida wanalipa fadhira,lakini kama watampitisha mtu ambaye sio msafi, fisadi,mtu ambaye watu hawamfaamu juu ya utendaji kazi wake au mtu hasiye weza siasa za sasa zinazopendwa na vijana ua mtu mpole kiasa cha kutiliwa shaka na wanachi juu ya kufanya maamuzi wajue kazi ya ccm kushida mwaka huu ni mbaya sana,