Pitieni hii Wandugu

Dah!
Mkuu pole...Kama mjeda mwachie tu ajigongee vyombo. Asije akakufanya vibaya na bado vyombo kagonga
Jua tu utampata mwingine mzuri na atakayekupa raha zaidi ya huyo(
Hii waulize waliowahi kuachwa watakupa uhakika 100%, even me)
 

asante. nimekuelewa sana
 
Dah!
Mkuu pole...Kama mjeda mwachie tu ajigongee vyombo. Asije akakufanya vibaya na bado vyombo kagonga
Jua tu utampata mwingine mzuri na atakayekupa raha zaidi ya huyo(
Hii waulize waliowahi kuachwa watakupa uhakika 100%, even me)

sawa mkuu. ngoja nitafte uhakika wa hili suala then nichukue hiyo hatua
 
kumbe umepata taarifa ila hujawaona......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…