Pitia nwa hii kama unaweza kunishauri

Pitia nwa hii kama unaweza kunishauri

Kiume unampuuza, ukizidi kumfuatilia atakuwa anazidi kukupakazia.

Itafikia tu wakati atakuwa hana mpya atakuwa hana cha zaidi, hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
 
Mii napenda kuachana sababu nachagua kuwazia kwake naenda mbele
 
ukimya wako ndio akili, endelea kukaaa kimya!
 
Kifupi naomba nikushirikishe jambo hili nilikuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kipindi hicho nipo chuo mwaka wa kwanza mpaka mwaka huu almost four years. NilijitahidI kumtimizia kila nilichoweza kimahitaji kama mpenzi Wangu. Nikamtambulisha kwetu na kwao kwa ahadi ya kuoana nae mwishoni mwaka huu.

But nilImkuta na vitu vya ajabu mno kwenye simu yake nikawa mpole but yalinishinda ikabidi tufikishane mpaka kwa mzazi wa binti mamaye mama akakiri mwanae hajatulia akaniomba msamaha kwa niaba ya binti yake mapema mwaka huu.

Kiukweli nilmkuta hana support ya wazazi nikamlea kwa kila kitu nikiamini atakuwa mke sahihi, but baada ya ugomvi ule niliamua kukaa pembeni kukaa kimya.

Tukaachana na binti but toka nimeachana nae amekuwa akizungumzia maneno machafu mengi kwa rafiki yake but kiukweli sikuwahi kuwajibu chochote hao rafki zake nliamua kukaa kimya but kila siku yanazungumzwa mapya na ni almost miezi sita imepita since tulivooachana.

So wanajamvi wenzangu nifanye lipi nimfate laivu nimpe makavu au niendlee na maisha mengne?

but, nyiingi mpaka nmechanganyikiwa.
 
solution ni simple sana hebu mu - ignore huyo yan iwe mazima mwanaume ukikuta mwanamke wa dizaini hiyo piga kimya tu usimshobokee potezea had ataacha uropokaji
 
Back
Top Bottom