Pitia hii fursa

Pitia hii fursa

haina tofauti na upatu...

watu walipanda mbegu ktk DECI, mwisho wakatapeliwa.
 
Game la kijinga hilo! Wapiga dilli hao! Jpm kabana kila kona wanatafuta pa kutokea! Mkitaka Mali mtaipata shambani!
 
Utoe 1,000 upate 128,000,000,000. Hivi kuna watu wangesoma au kuteseka huko mtaani kufanya kazi au biashara?
 
Icharity
Helping Hands
Paysforever
Amkamwanamke etc


Pombe ile ile chupa tu ndio wanabadilisha.Na wabongo tupendavyo vitonga basi ndio kuumizwa daily
 
Mambo mengine hata hayaingii akilini. Usawa huu unaongea kirahisi rahisi namna hiyo
 
simuamini mtu kwenye pesa..labda niingie alafu mnipe niwe mtunza hazina
 
TENGENEZA 1,920,000 KWA MTAJI WA SHILING ELFU 1 (Tsh 1,000).

Karibuni katika fursa inayoitwa "PAYS4EVER"

SOMA MAELEZO YA HII FURSA KWA UMAKINI AFU KAMA HUJAELEWA ULIZA MASWALI.

PAYS4EVER Ni mfumo unaowezesha watu kuchangiana michango ya hiari moja kwa moja bila kuhusisha mtu wa kati kwenye akaunt zao za simu au za benki kulingana na uamuzi wa mwanachama.

PAYS4EVER INA MFUMO WA 4X3 MATRIX (YAANI UNAWASHIRIKISHA WATU WANNE NA UTAPANDA MPAKA DARAJA LA 3 AMBAPO KILA DARAJA UTAJITENGENEZEA FAIDA

MCHANGANUO WA MICHANGO PHASE 1

✍Unajiunga kwa Tshs.1,000 na utakuwa daraja la kwanza,,,utawashirikisha watu wanne ambao watakuchangia Tshs.1,000 kila mmoja sawa na elfu4,000
utapanda daraja la 2 kwa kuchangia Tshs.3,000 hivyo utabakiwa na faida ya sh.1,000 daraja la kwanza!

✍Daraja la 2: utachangiwa na watu kumi na sita walioletwa na wanne wako kila mmoja Tsh.3,000 (3,000 x 16 =48,000)
panda daraja la 3 kwa kuchangia Tsh.30,000 hivo utabakiwa na faida ya Tshs.18,000 katika daraja la 2.

✍Daraja la 3: utachangiwa na watu 64 Tshs 30,000 kila mmoja sawa na 1,920,000. Hapo utakuwa na faida ya milioni moja laki tisa ishirini elfu.


MCHANGANUO WA MICHANGO PHASE 2

Ili kuingia phase ya 2 ni lazima uwe umemaliza phase ya 1. Mfumo huu upo tofauti na mifumo migine, wale waliokuchangia phase ya 1 ndio watakuchangia tena kwenye phase ya 2.

Daraja la 4: utachangiwa na watu 4 uliowaingiza phase 1, kila mmoja Tsh.92,0000 (920,000 x 4 = 3,680,000)
panda daraja la 5 kwa kuchangia Tsh.1,500,000 hivo utabakiwa na faida ya Tshs.2,180,000 katika daraja la 4.

✍Daraja la 5: utachangiwa na watu 16 Tshs 1,500,000 kila mmoja sawa na 24,000,000. Hapo utakuwa na faida ya milioni 22,500,000.

Daraja la 6: utachangiwa na watu 64 Tshs 2,000,000 kila mmoja sawa na 128,000,000,000.

KUMBUKA
hizo faida zote ni kwa mtaji wa elfu 1000 tu na kuwashirikisha watu wanne makin
Fursa si kampuni wala taasisi bali jukwaa la kuchangiana mwanachama mmoja hadi mwingine
fursa haiusiki na kushika fedha ya mtu yoyote bali ni mfumo unaotuongoza kuona nan unapaswa kumchangia na nani anapaswa kukichangia (team yako)
ni fursa mbichi kabisa kwa hiyo uwezekano wa kufanikiwa ni mkubwa
hauitaji ofisi simu yako ndio ofisi yako hivyo haitahathiri kazi zako.
contact
Tigo 0716698056
E-mail greenballm@yahoo.com
Nmeipend hat kw buk...kwel pes madafu
 
haina tofauti na upatu...

watu walipanda mbegu ktk DECI, mwisho wakatapeliwa.
Haina utapeli hiyo mkuu,kwa kuwa hela mnachangiana wenyewe,huwezi kumuaprove mtu wa chini ili apande grade paka akulipe
 
Hizi hesabu zimefikia kuzuri kumbe ile topic ya matrix ina mautamu hivi, haki mie na mathematics nitawarithisha wajukuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom