H happy amos JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 251 Reaction score 434 Jun 23, 2014 #1 Nipo mwanza ninamizigo yangu ipo arusha nauliza nitawezaje kuisafirisha kuja huku mwanza? Naombeni mnisaidie wakubwa
Nipo mwanza ninamizigo yangu ipo arusha nauliza nitawezaje kuisafirisha kuja huku mwanza? Naombeni mnisaidie wakubwa
DONALD JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 275 Reaction score 35 Jun 24, 2014 #2 Nenda ofisi za Zubery au Dar express wanapokea mizigo na kuileta Mwanza,au kama mizigo ni mikubwa kuna magari makubwa ya kubeba mizigo jaribu kuuliza upate ufafanunuzi apo arusha.
Nenda ofisi za Zubery au Dar express wanapokea mizigo na kuileta Mwanza,au kama mizigo ni mikubwa kuna magari makubwa ya kubeba mizigo jaribu kuuliza upate ufafanunuzi apo arusha.
harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,361 Jun 24, 2014 #3 kama ni vifaa vya ndani unauza unanunua vingine mwanza