Ila ni kweli mkuu,
maana si wote wanaelewa kile kiandikwacho.
Kwa hlo hapo utakuwa umesaidia na wengine waso na uelewa.
Big Up,
UMESOMEKA MKUU stevoh
Shikamoo madame mekumis jamaniii
morning wangu?
Markhabaaaa!!!
Mtoto mzuri beibe nasty,
hata nami nimekumiss mmwaahhh!!! Mdogo wangu.
Vp lakini umeamka swalama?
Swalama tuu dada madame mi nauzun bana cl antaka ondoka iiiiiiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeh nashindwa kuandika jinsi ya kupenga kamasii fyeeefyeee im in tears mim dada
charminglady wenye akili nzito hapo wanaweza wasikusome umeyaungaunga, mi nimekupatanmkpata kwa uzr! stevoh
mi naaamini mara nyingi kiswahili na kingereza ndo utumika na watu naona wanachangia tuu ila labda vile vijineno vya vibarazani ndo shida ila unless other wise umeeleka shivoooo oooooops samahan i,mean stevoh