Malengo yako ya baadae ni yapi? Jiulize hilo swali then jibu lake ndio likupe mwelekeo wa wapi uchague,angalia kazi ipi itakufukisha unapotaka kufika kulingana na malengo yako.Pia angalia kazi ipi unaipenda sana na tofauti ya mshahara kati ya hizo kazi.