hope mpo salama wakuu...
mwez umepita nikaja kuongea na dalali akasema yule mpangaj katoa hela yote laki na nusu.nikaongea na mpangaj akasema ndio katoa yote.nkampgia cm mpnz wang anasema dalali alimshawish afanye hvyo nimsamehe sana.kiukwel mpnz wang kupanga njama ya kunidhulum naona maajab.nimechanganykiwa sana.
Wakuu hv huyu mwanaume atanifaa kwel au nimwache?
hv mkuu unaweza kupanpga njama ya kumfanyia unyama mtu umpendae?kama kaweza kwa kdog how about kikubwa?
Acha ubahili binti,sh ngapi hiyo ya kulialia na mpenzi wako?Wanawake wengine bwana!!bahili sana.
Kwa wengine hii ni pesa ndefu sana mkuu...
sina mawazo ya hela,but future life.
Kama unawaza kuhusu future life kwa nini usimsamehe na kumueleza wazi kuwa hujapendezwa na hicho kitendo chake...
Sisi tutajuaje kuwa labda wewe ni mchoyo na alijua akikuomba wala hutampatia hata senti tano...
Uaminifu ni jambo la kheri lakini mtu asipofanya uaminifu haimaanishi kuwa hawezi kuonyeka...
Hivi wewe bi mkubwa ni mara ngapi umekuwa si mwaminifu mbele za Mungu lakini kwa kuwa Mungu hutupenda sisi wanadamu amekuwa anakusamehe na kukupa tena nafasi...
Kama unaamini mnapendana basi jifunze kusamehe pia
Dah,mkuu umefika mbali sasa!!mpaka kwa mama yangu aliyeshamba huko!Mtu mwenye akili timamu hawezi fanya kitendo alichofanya jamaa maybe awe na tabia ya wizi. Jaribu kufikiria mkuu! Comment yako inafanana na majibu ya yule mzee wa vijisenti. Sijui nawewe ni uzao wake? Au mama yako alikuwa mchepuko wake?
umedandia train kwa mbele mkuu... by the way, subject matter ya hili tukio ni nini?Ishu hapa si hela ila ukweli na uaminifu; kwa maana mpaka hapo hakuna mkataba wa ndoa, sasa je, kwa tabia hii atafaa kuwa mwenza wa kudumu?
Mi naona sema naye, akikiri kosa na kuomba msamaha panga kipindi cha mpito usome tabia yake zaidi. Huenda sisi tuliosalia tukawa na matatizo zaidi ya hayo!
umedandia train kwa mbele mkuu... by the way, subject matter ya hili tukio ni nini?