kanumba na sharobaro wanamuliza sajuki
'vipi mwenzetu mbona umekuja mapema ivi ndo kwanza mwanzo wa mwaka?. Sajuki alichowajibu 'nimewaletea ving'amuzi'...... to be continue hahaha
ving'amuz vyann mbingun hamna anga
:laugh::laugh::laugh::laugh:
tunapaswa kuwaombea waliotangulia mbele za haki nasio kuwatumia kuchekesha watu
kwanza hacheki mtu hapa!
Nadhani itakuwa ni www.kuzimu.com...source?
Wamekunywa maji ya chooni...haya masihara na marehemu mbona mm cwez....nyie mnaujasiri gani.
prove it