Sijampata mtu kutoka songea..wote wanaokuja kibande iyo ni wachaga wenzio ...na kwa taratibu za kabila yetu ukimpa ela...utaishia kuona manyoya.Au kama vipi njoo hapa soko la mitumba utanipata vzr chalyangu!
me nathani kuwa na miguu mizurii ni kwa jinsi mungu alivyookuumba jikubali ulivyo huyoo aliyekuacha
alikua na lake jambo hakukupendaa kwa dhati just move on usikubali akurudishe
nyuma yupo atakae kupenda ulivyo trust your self🙂
ushaur wangu ni hiv kama unataka kubadili kitu kwenye mwili wako au maisha yako kua m binafsi kidogo na ubadilike kwa ajili yako.. yaan jibadili kwasababu unayapenda mabadiliko co kwa jili ya mtu mwingine.....
wanadam haturidhik kipenz leo hii ubadili miguu kwajil kakuache kesho mwingine atakuacha kisa kingine. ko jipende kama mwanamke na co ujipende ili mtu akupende jipende iwe sehem ya maisha yako...
Nikiweka yangu hapa utajiona Yako ww minene mno
Mie mtu akinipatia kasoro kweny mwili wangu simuachi naweza mwambia mbona ww una sura baya hadi ukipelekwa kubembeleza watoto vilizi wananyamaza kwa sabb ya uoga