naombeni mniambie nifanye mazoezi gani miguu yangu inenepe?? nimeachwa kisa cna mguu
Mungu aliyekuumba ivo atakupa mke/Mme atakayependa hiyo miguu yako.
Jikubali kwan ww ni zaid ya miguu anza kusoma vtabu vya kujtambua na kujua ww ni wathamani machoni pa Mungu na si miguu,miguu ni device tu kukuwezesha kutembe,kuruka, kukimbia nk mshukuru Mungu walau ww unayo miguu,wakumbuke wasio kuwa na miguu upate sababu ya kumsifu Muumba wako.