Pita hapa ushauri kisha nasema asante na uondoke zako.

The Only Kilo

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
352
83
Tupo wawili. mimi nipo tanga na mwenzangu yupo morogoro na binti yupo dar es salamu. Kiufupi kabisa huyu binti ni wa mwenzangu ila ilitokea tukapendana kutokana na ukaribu wetu kwa sababu kuna kipindi alikuwa yupo tanga. Sasa basi kuna jambo ambalo limeshatokea na binti ana mimba ameniambia hana huakika kama ni ya kwangu au ya mwenzangu. kwa mlio na uzwefu na haya mambo tuone ushauri tufanyeje hapa na ukizingatia bado kama siku chache wakatambulishane.
 
subiria azae ukapime DNA test.. au muulize anataka huyo mtoto baba yake awe nani? kama nii wewe basi ewala lea tu umeshapata mke
 
mdada ndo anayejua mimba ni yanan...inamaana yeye alikuwa anakutana na nyinyi kila siku.muulize vizuri ....pia kwa ulichokifanya sio vizuri unajua kabisa kwamba huyo ni mpz wa mtu kwanin umchukue je ungekuwa wewe unafanyiwa hivyo ungejisikiaje....na pia ni bora mngemwambia mapema mkaka wa watu .sio kumuuzia mbuzi kwenye gunia.akigoma kusema ukweli akijifungua mpime DNA.mtoto ajue baba halisi.....
 
Tupo wawili. mimi nipo tanga na mwenzangu yupo morogoro na binti yupo dar es salamu. Kiufupi kabisa huyu binti ni wa mwenzangu ila ilitokea tukapendana kutokana na ukaribu wetu kwa sababu kuna kipindi alikuwa yupo tanga. Sasa basi kuna jambo ambalo limeshatokea na binti ana mimba ameniambia hana huakika kama ni ya kwangu au ya mwenzangu. kwa mlio na uzwefu na haya mambo tuone ushauri tufanyeje hapa na ukizingatia bado kama siku chache wakatambulishane.

Keep the f*** out of people's relation. Ushauri mwingine inabid tuwe wakali kidogo...
 
Tupo wawili. mimi nipo tanga na mwenzangu yupo morogoro na binti yupo dar es salamu. Kiufupi kabisa huyu binti ni wa mwenzangu ila ilitokea tukapendana kutokana na ukaribu wetu kwa sababu kuna kipindi alikuwa yupo tanga. Sasa basi kuna jambo ambalo limeshatokea na binti ana mimba ameniambia hana huakika kama ni ya kwangu au ya mwenzangu. kwa mlio na uzwefu na haya mambo tuone ushauri tufanyeje hapa na ukizingatia bado kama siku chache wakatambulishane.
Nakushauri ukae mbaaali na mchumba wa mwenzio!Kama hana uhakika mtoto wako au wa mwenzio (mh, jamani mn mambo watu) basi jifanye kama una uhakika kuwa mtoto sio wako. ONYO: Mtoto akizaliwa usipeleke pua yako ata kama unafana nae. Ndo ivyo yani!Ushakula galasa baba:behindsofa:
 
Tupo wawili. mimi nipo tanga na mwenzangu yupo morogoro na binti yupo dar es salamu. Kiufupi kabisa huyu binti ni wa mwenzangu ila ilitokea tukapendana kutokana na ukaribu wetu kwa sababu kuna kipindi alikuwa yupo tanga. Sasa basi kuna jambo ambalo limeshatokea na binti ana mimba ameniambia hana huakika kama ni ya kwangu au ya mwenzangu. kwa mlio na uzwefu na haya mambo tuone ushauri tufanyeje hapa na ukizingatia bado kama siku chache wakatambulishane.

yaan weye hamnazo kweli mtiane nyie halafu sisi ndo tuamue mwenye mimba. Acha ungumbalu
 
duh kweli wee waukweli...hongera zako. sasa hapo uzembe wa demu...wacha atajya mwenyewe lamufanya ila wee endelea kula mzigo huo ata kama jamaa atajidai kuumiliki
 
Waache waendelee na taratibu za kutambulishana nawe endelea na mambo yako
 
mbona wakati unaanza kumtongoza hujaja? nyie ndio mnaopigwa risasi kudandia mademu wa wenzenu. ulichokifanya jamaa mwenyewe ni member humu amesoma mada yako sasa subiria huyo binti akiwashiwa moto. tunapowaambia kuwa ngono zembe si salama nyie mnaendelea tu. hapo ndoa hamna mnachezea nyapu ya huyo dada, halafu halina akili kabisa.
 
Mbona kabla hukuja kuomba msaada? Afu huna hata aibu kutembea na mwanamke wa mwenzako haya na wewe kamtambulishe.
 
Back
Top Bottom