kasobi
Member
- Apr 30, 2017
- 32
- 37
We jamaa hii umetunga tuShokomzoba=shock absorber
We jamaa hii umetunga tuShokomzoba=shock absorber
Yu willibi pumping yuwa oili bai graviteshe foses, mahakama maalumu that's why wi koli zemu mafisadi.
Narrow body fly
Hapo hats Mimi bado inanishinda kutofautisha kat ya number plate na plate numberPlate number badala ya number plate...utasikia mtu anasema plate number ya gari yangu imedondoka.
Mimi ndo ata sifahamu naongea English ya wapi!!!Sikutegemea kama ungenijibu vizuri hivi.
Nilipokuwa nasoma nilipata tabu sana na yote hii ni baada ya kuwa naongea RPC. Maana nilikutana na watu wabishi sana kuelewa. Ahsante sana. Ukweli ni kwamba takribani asilimia 75 ya watanzania wanaoongea Kiingereza wanaongea Kiingereza cha Marekani na sio Uingereza. Mfano
Neno rangi kwa kiingereza ni COLOUR, lakini wengi wamefundishwa COLOR na linatamkwa KALA, lakini wengi wanatamka KOLO.
Natumai umenielewa.
We bado mwanafunzi lazima....Cooperative and Rural Development Bank..CRDB
Yani wewe bado ni "mshamba" sana kwenye hii tasnia. Nadhani hata google unaona tabu kutumia. Kama bado unawaza CRDB ni Cooperative Rural Development Bank... njoo hapa Bunju binti yangu yuko darasa la nne atakufundishaUnachobishia unakielewa kweli au ndio asili ya ubishi kwenu?
Kirefu cha hizo herufi kiandike kisha yasome kwa Sauti kuu
Kwa kurahisisha ni (Co-operative Rural Development Bank) = CRDB so huwezi tena kuweka Neno Bank zaidi maana ukitamka hivyo na ukaja kuweka tena kifupi chake inakuwa CRDBB Ambapo ni Wrong!
Na NMB ni National Microfince Bank so ukiongeza neno Bank it means kifupi chake kiwe NMBB. Am sure wewe ni Mjinga na sio Mpumbavu maana Mjinga akishapata ufahamu huelewa na kuwa Mpole kama Mnyonge. Sawa Babu tunaeleweshana tu humu.
Huko kwa Lissu mi nisamehe tu mpenziHahaha.
PM yangu iko wazi muda wote kama mlango wa Central babu.
Lissu?Huko kwa Lissu mi nisamehe tu mpenzi
Ni kweli... lakini kama kuna mtu 45yrs old anesema niko hapa barabara ya kilwa road basi hata kipindi hicho atakua alikuwa anasema niko hapa crdb bank... labda mlaleo aliwasikia wakisema hivyo, labda bado anawasikia maana anaonyesha bado anaishi kwenye hiyo era ya crd bank.Sawa lakini hii sio thread ya zamani... si ndio?