digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,910
- 14,413
- Thread starter
- #181
Basi badilika mkuuhiyo ya kwanza nipo aisee!
Basi badilika mkuuhiyo ya kwanza nipo aisee!
Nshataja hujaona? Nimekwambia watu wanakosea badala ya kusema /gift/ thats phonemic transcription wanasema /jift / hilo ndo kosa umeelewa?Litaje tulijue mkuu
Nshataja hujaona? Nimekwambia watu wanakosea badala ya kusema /gift/ thats phonemic transcription wanasema /jift / hilo ndo kosa umeelewa?
Hahahahaha... chemli....mie pia hapo nilikuwa hata sijawi hungainisha... its funny jinsi maneno mengine hata mtu kama unayajua correct pronounciation yake unakua hugundui kwasababu yameshakua kama normal vocabulary ya kiswahiliKISEMSII badala ya K C M C
Nyingine ni ile taa wanaita Chemli badala ya CHIMNEY
Kwenye kiswahili tulifundishwa kuhusu lahaja nafikiri inaingia hapo.Nshataja hujaona? Nimekwambia watu wanakosea badala ya kusema /gift/ thats phonemic transcription wanasema /jift / hilo ndo kosa umeelewa?
Lahaja inaaingiaje hapo hebu nieleze kuna lahaja kadhaa za English na zote zinatamka gift sio jiftKwenye kiswahili tulifundishwa kuhusu lahaja nafikiri inaingia hapo.
Ushajiuliza kwanini watu wanatamka jift..? Kwa mimi ninavyoona ni mazoeaLahaja inaaingiaje hapo hebu nieleze kuna lahaja kadhaa za English na zote zinatamka gift sio jift
Ni sahihi watu hutamka jift kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazoea ,walimu wanao wafundisha wanatamka hivyohivyo nk nkUshajiuliza kwanini watu wanatamka jift..? Kwa mimi ninavyoona ni mazoea
Nairobi flyHivi ni "Nairobi fly" au "narrow bee fly"??
Yaap na walimu pia wanachangia, utashangaa ukienda shule hii wanafundishwa hivi tofauti na nyingine.Ni sahihi watu hutamka jift kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazoea ,walimu wanao wafundisha wanatamka hivyohivyo nk nk
Ni kweli... lakini zamani hiyo B ilikuwa inasimama kama 'bank'Hapo kwa CRDB umeingia cha kike... Ile ni CRDB bank na wala sio CRD Bank "CRDB" imesimama kama jina na wala sio initials.
Hapa tunaongelea usahihi.Zote
On Foot na By Foot zote ziko sahihi na zina maana moja.
huwa nakwazika sana mtu kutumia hili neno "kudipu" hasa wamama ndo wanapenda sana cjui nani aliwafahamishaga kutamka hivo.Ngoja kwanza mtoa mada ntakudipu.
ni sahihi ndivo inavyotamwa hyo b" ni invisible soundOvias=obvious
sasa hili si litakuwa limetoholowa mkuu! ni sawa na kabati=cupboard...mengine huwa sio makosa bali linatamkwa kwa kiswahili moja kwa moja coz limetoholewa kutoka lugha fulani.Shokomzoba=shock absorber
Haha sikujua
gosh
ɡɒʃ/
exclamation
informal
exclamation: gosh
- used to express surprise or give emphasis.
"gosh, it's freezing!"
- North American
used as a euphemism for ‘God’.
"a gosh-awful team"