Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

KISEMSII badala ya K C M C

Nyingine ni ile taa wanaita Chemli badala ya CHIMNEY
Hahahahaha... chemli....mie pia hapo nilikuwa hata sijawi hungainisha... its funny jinsi maneno mengine hata mtu kama unayajua correct pronounciation yake unakua hugundui kwasababu yameshakua kama normal vocabulary ya kiswahili
 
Nshataja hujaona? Nimekwambia watu wanakosea badala ya kusema /gift/ thats phonemic transcription wanasema /jift / hilo ndo kosa umeelewa?
Kwenye kiswahili tulifundishwa kuhusu lahaja nafikiri inaingia hapo.
 
Ni sahihi watu hutamka jift kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazoea ,walimu wanao wafundisha wanatamka hivyohivyo nk nk
Yaap na walimu pia wanachangia, utashangaa ukienda shule hii wanafundishwa hivi tofauti na nyingine.
 
Back
Top Bottom