Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,961
- 42,166
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO
Neno la MWENYEZI MUNGU katika kitabu cha nabii yeremia 2:19 neno linasema, uovu wako mwenyewe utakurudi maasi yako yatakukaripia, ujue basi, ukaone ya kuwa ni jambo baya sana na uchungu, kwa kuwa umemwacha, BWANA, MUNGU wako, na ya kuwa moyoni mwako hakuna kunihofu, asema BWANA, Bwana wa majeshi
Neno hilo ndugu zangu wana wa MUNGU linasisitiza juu ya ubaya wa kumwacha MUNGU na kutokumhofu MUNGU MWENYEZI MFALME WA WAFALME
Kumwacha MUNGU kupo kwa aina nyingi, kwa mfano
1, kutokufanya mazoez ni kumwacha MUNGU
2, kukata miti ovyo ni kumwacha MUNGU
3, usela mwingi ni kumwacha MUNGU
4, kutokufanya ibada ni kumwacha MUNGU
Hiyo ya nne ndo kubwa zaid
5, kutokuwajali masikin na wahitaji ni kumwacha MUNGU
6, kutokuwaombea wengine mbele za MUNGU nako pia ni kumwacha MUNGU
Nitaifafanua hiyo namba 6, mkristo ambaye anaanza maombi kwa kujiombea yeye mwenyewe pasipo kuanza kuwaombea wengine huyo hafai na amemwacha MUNGU kabisa , tujifunze kuwaombea wengine hasa VIJANA, MAFISADI, WAGONGWA, WAJANE, YATIMA, WASAFIRI , WANANDOA , WAGANE
kwanini tuwaombee VIJANA, kwa sasa hapa dunian vijana ndo kundi linatoseka zaid kuanzia elimu, mahusiano, ajira na kipato, vijana wengi huamka asubuhi wakiwa hawajui wanaenda kufanya kazi wapi na kazi ipi
Basi ndugu zangu tuwatie moyo vijana na tuwaombee sana kwa MWENYEZI MUNGU
Tuendelee kudumu mbele za MWENYEZI MUNGU bila kuchoka
Asanten sana watumishi
BWANA awabariki
SAYUNI BOY