Pita hapa Mara Kuna tatizo

Pita hapa Mara Kuna tatizo

Kwanza mnaonekana wote ninwadogo. Ila maadamu una nia, na dini yenu inaruhusu, endelea kumjali. Kwako naamini unampenda zaidi ya kumtamani. Kwake upendo wake utaanza kujijenga taratibu juu yako kulingana na wewe unavyoendelea kumjali. Huyo ni wako
Hapo sawa ndio ushauri mzuri kaka huu nilitaka niusome
 
Kuzuia magonjwa na mimba.

Ila mimi sijawahi kutumia ndom na sitarajii kuitumia😅😅
Magonjwa mungu anajua, mimba tutamwagia nje, shida nini.. 😂😂

Kiukweli zaidi ya kuiona kwenye matangazo ya tv, sijawahi igusa kabisaaa😂🤣🤣
 
Umegeuzwa Baba mlezi Wa Binti mkubwa,,jiandae kulipia ada ya kompyuta kozi hewa,,,shtuka wewe Jamaa mvaa kobazi!!
 
Magonjwa mungu anajua, mimba tutamwagia nje, shida nini.. 😂😂

Kiukweli zaidi ya kuiona kwenye matangazo ya tv, sijawahi igusa kabisaaa😂🤣🤣
Kondom ni kwa wale ambao kila siku anavua samaki mpya, yaani hachagui ili mradi adumbukize, okota okota style
 
wanao-do na ndom ile siyo sex, watafute neno lingine
nikishusha video zangu (hasa za Anal) , nacheki kwenye thumbnail, nikiona ndom, naacha
 
Wakuu...ma broo na ma sista...Kwanza poleni na majukumu ya Kila siku...

Kwa kuzingatia michango ya Wana jf member hapa...Kuna namna imenisaidia na kuweza kumla huyu demu siku ya Jana jumapili kwa maana ni siku pekee ya huyu mdada kuwa off kazini... Wazo kubwa nililolipata hapa jukwaani ni lile la kutenga bajeti ya kiasi Cha pesa ambacho Mimi nilitenga laki moja ...hii niliifanya ya kumhudumia shida zake ndogondogo kwa sababu nature yake ni kuomba vocha Sana na hela ya kula..bhasi kufika Jana huyu dada akajaa kwenye kumi na nane ...mwamba nikamaliza.

Sasa wakuu baada ya kumla niliaona si vibaya nikampa 50k Kama zawadi na kumjengea imani ili wakati mwingine arudi tena,Sasa wakuu hapo kumpa hio 50k nimekosea?swali hili naliuliza kwa maana sijajujua ninajenga au ninabomoa katika kumrekebisha tabia yake ya kuomba omba hela...

Lakini baada ya mizengwe ya wiki ya Kwanza kabisa Ile mpka nikalipia outing ya 74k,nilijifunza kutokana na michango ya Wana member humu Kuna vitabia nilimkemea na binti kweli aliviacha..vijitabia vyenyewe ni vilikuwa nipale anakuomba hela labda ten...halafu baada ya kutuma asemi asante au siku nzima anaponitafuta ni pale anapokuwa anauhitaji wa kula hayo machipsi yake na mavocha ...bhasi Mimi sikusita kumpigia na kumchana na kumuelimisha kuwa Mimi Kama mwanaume wako na kiongozi wako nataka aache hio tabia Mara moja na sipendezwi kabisa na tabia chafu hapo ikumbukwe ni bado hajaja ghetoni lakini aliweza kuobey hio Sheria na akawa ananipigia hata Kama Hana uhitaji...

Sasa wachangiaji nisiwachoshe Sana siku ya Jana nilivomalizana nae nikaona isiwe tatizo nikampeleka mpka mbezi...kufika mbezi ambako shoga yake yule wa mara ya Kwanza siku Ile alikuwa amekuja nae outing waliaahidiana nae wakutane hapo ili warudi kwa pamoja sababu wanakaa mtaa mmoja akawa amewahishwa na haraka zake...nikaona isiwe tatizo nikamwambia bhasi ntakupeleka mpka goba mpakani ili achukue bajaji aende kwao ..akasema sawa nikamrusha chap Ile tumefika tu ananiambia tena Sina hela ya kula,nikamuangalia nikasema kimoyomoyo huyu anamashetani Nini elfu hamsini nimempa na naul nilimpa 15k goba mpka kibamba ya kuja ameungaunga usafiri akabaki na chenchi ya kutosha tu kwa maana nililijua hilo alivokuwa anaenda kuoga baada ya show nilichukua simu yake nyuma ya kava ana elfu Saba. imebakia....nikajikausha sababu mi kiukweli nampenda nikatoa ten nikamwambia boda anirudishiie buku tano na kumpa 2k nyingine ya boda ili amfikishe kwao kwa maana mda huo alikuwa ameshanikwaza nikasepa nikapitia ngao pub nikapiga mboliko nikirudi home mda huo nahasira tu.

Kinachonichanganya nikiweka amri nzugu naona nidemu ambaye anazi tii kwa kiasi Sasa sielewi nimfanyaje Kuna muda Kama ana Mambo mengi unaweza kumtafuta asipokee simu lakini haachi kunitafuta hata Mara moja tangu nilivomchana.

Saivi naangalia game ya Totten na full ham nimemcheki na kumuelekeza nataka nimuweke ndani nimuowe kwa maana sote sisi ni waislamu na ni dhambi kuzini naona ananiambia mpka mwakani ni mpaka amalizie koz ya kompyuta ambayo aliiachaaga njiani, nimemwambia sawa ..tutaongea zaidi Ila nimtu ambae naona kapokea kwa wema na amenisihi nimjulishe nitakaporudi nyumbani kwa kuwa mi nipo baa na sijajua lengo ni Nini labda ajue Kama niko salama ...Yani Kuna mda anajali hadi nafurahi ila Kuna vijitabia vya kingese hadi simuelew..

Ila nampenda Sana na Jana kanilazimisha nitumie ndomu maana yuko danger mi nikamkazia kinomanoma pale ilikuwa vita akakubali nikamwambia atatumia p2 Kama anawasiwasi na mimba Ila mi hata asipotumia akipata mimba ndio vizuri tu kwa kuwa namuhitaji...

Sasa kaka na dada zangu embu nisaidieni wakuu...hapa kipi kifuatie hadi awe anaelewa kabisa na mwishowe awe ni mwanamke wa ndoto zangu?ni kwa namna gani atajinyenyekeza kwangu nakutambua Mimi ni mme wake?nitumie njia zipi? Ili atulie ma broo ...msaada unahitajika Ila hajaacha kuvaa yebo za kutuna na yebo za vitobovitobo hata alivokuja alivaa...
Matokeo ya darasa la saba yameshatoka? Mbona hujui kuandika hivyo?
 
vipi homa lakini au bado inapanda taratibu,

naamini umeandaa 50k ya kutibu U.T.I sugu pia, licha ya kwamba umeinunua gharama zaidi.
 
Siku nyingine mwanamke akikwambia mtumie condom wewe tumia hata kama ulikuwa hauna mpango wa kutumia ila tumia tu.

Hapo kuna mawili.
Hakuamini juu ya afya yako.
Au hataki kukuambukiza maradhi umpe lawama baadae.
Ila sasa nyie mwanamke akiulizia condom ndio mnataka kavu mkidhani kwakua kaulizia condom maana yake yupo salama na anaogopa ukimwi.
Safi sana
 
Au tufanye kuna matatu mkuu,
Inawezekana ana ujauzito sasa anajua tu akikwambia utumie kinga hautotumia sasa anaweka kumbukumbu sawa ili baada ya wiki kadhaa akwambie ana ujauzito wako na alikwambia tangu siku ile utumie kinga we hukutaka hivyo unawajibika 100% kwa kila kitu
 
Halafu huwa wanalalamika kwamba wanawake hawapendi kutumia ndom kumbe ni wao wenyewe.

Wakiambiwa watumie hawataki na wakilazimishwa wanaitoboa. Sijui akili zao zipoje yaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom