Pisi ( Wanawake) kali za JF

Machingafx

Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
91
Reaction score
110
Eti kuna jamaa mmoja anasema kua pisi (wanawake) kali za umu JF ni mbaya...

Asa sijajua ni kweli anachosema ama vipi... asa nataka pisi kali mjitetee apo.. maana mwana. Naona anawaponda kinoma ike mbayaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Maoni hapa chini tafadhaliπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ tunajadili.πŸ™πŸ™πŸ™
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…