Pishi la ugali na dagaa

Aroma=Shombo
 
Dagaa wameondolewa mchanga wotee?
 
Nyumbani kwetu wakikupikia dagaa na ukawala ,wewe hakuna chakula kitakushinda kula dunia nzima (hawajui kabisaa) .Picha linaanza dagaa wanamamichuzi kibaoo.
 
Nyumbani kwetu wakikupikia dagaa na ukawala ,wewe hakuna chakula kitakushinda kula dunia nzima (hawajui kabisaa) .Picha linaanza dagaa wanamamichuzi kibaoo.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
My favorite, ugali dagaa tembele πŸ˜‹ nikitoka hapo sasa tumbo linaniuma hadi najuta.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…