Pishi la ugali na dagaa

Kwa hivyo viungo , tui la nazi, giligiliani na hio beef cube hivi ile aroma ya asili ya dagaa bado ipo kweli?

Kama nyama ikichomwa kwa kuni, inakuwa na ladha nzuri sana, unatia chumvi tu, unapata ile smoky flavor, aroma ya asili kabisa ya nyama na unajisikia unakula nyama... sipendelei spices nyingi...

Pishi zuri by the way, dagaa ni chakula kizuri sana kwa kujenga mwili, gram 100 za dagaa wakavu zinakupa protini nyingi sana kuliko mayai kwa uzito huo huo. mayai yanaingia mara 4 zaidi...

Msishangae kwanini wanawake kutoka kanda ya ziwa wana maumbo flani ya kibantu, dagaa hizo.. 😆
 
Dagaa wanashombo sana Tena sana nadhan mnaopikaga dagaa mnaelewa Ile harufu au niseme shombo ni Kali giligilan na iyo cube inaondoa shombo la dagaa ila ladha yake inabak pale pale
 
Wewe SAWA ila SI yule anayetaka kuanza degree mwaka huu!
 
Dagaa nawapenda ila sharti wapikwe na mama yake Mpaji Mungu au mchumba wake Mpaji Mungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…