Dagaa watamu ndo hivyo Tena nina ban nalo
Hawapandi dagaa? Kuna jamaa mmoja alipiga BAN nyumbani kwake kupikwa dagaaDagaa watamu ndo hivyo Tena nina ban nalo
Hatari sana😋Hongera masta......
Hapo upate na glass moja ya mtindi bariiid
Nikuwa nakula Ila kwa sasa hapana aseehHawapandi dagaa? Kuna jamaa mmoja alipiga BAN nyumbani kwake kupikwa dagaa
Alooo sio poa.....siku tuone mapishi yako mwanadada😊Hatari sana😋
Hapana kwa kweli,mi ninachoweza ni kuchemsha magimbi tu mkuuAlooo sio poa.....siku tuone mapishi yako mwanadada😊
Kwanini?Nikuwa nakula Ila kwa sasa hapana aseeh
Kwani magimbi si chakula pia... utatuwekea na chai au mtindi.... shega tu 😊Hapana kwa kweli,mi ninachoweza ni kuchemsha magimbi tu mkuu
Sitaki😔 hii ni hujuma....🚴🚴🚴Kwani magimbi si chakula pia... utatuwekea na chai au mtindi.... shega tu 😊
Maelekzo ya Dr asehKwanini?