Worldboss
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,932
- 3,761
Yani mimi niache kutafuta pesa nipoteze muda kuangalia movie walizoigiza wanaume wenzangu WE MTOTO PIMBI KWELI.Sibishan na kende hata sku1 sabab najua hujui kitu...u know me..i dont argue cheap
Naanzaje kubishana na watu wanaoangalia series za kikorea au bongo muvi au muv za kihind...wew tuliza kipago hapo hapo
Wewe endelea kuangalia movie kwa shemeji ukigombania remote na dada yako.
Kazi kujikweza kwa kazi walizofanya wanaume wenzako eti "naangalia movie za best directors tu" sasa mwanaume mwenzako yeye ni best director wewe ni best kwenye nini? au best kwenye ULOFA?