MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,560
- 41,522
Naangalia hapa zaidi ya mara tano kila moja
Guys wenzetu wapo mbali sana sana
Hizi ni mfululizo wa movie zinazomuhusu captain Jack sparrow
zipo tano
kinachonivutia walioandika script hawa jamaa wamenifanya niwe nairudia kila napopata nafasi kuziangalia
nikipata mwanamke ninayempenda kama navyopenda hizi movie namuoa
starring mkuu ni Captain Jack Sparrow jamaa kawauza watu sana humu haswa will turner na elizabeth swan
ila kiboko yake ni captain Barbosa huyu ndio kiboko ya sparrow
kitu cha kipuuzi movie zote tano sparrow kamùua mtu mmoja tu naye atafufuliwa
kuna kiboko ya wote hao anajiita davy jones huyu muangalie tu disney wanatakiwa wadevelop history yake huyu ndio mfano wa mtu akipenda anapenda kweli
malengendary meli yetu inaitwa black pearl
wengine wanaipenda flying dutchman
angalia humo umuone captain jack sparrow na barbosa wakianza kubishana kaa pembeni maana wana utani wa jadi
isije kuwa mwanangu wa kike nikamwita calypso sijui