Pirates of Carrebean

Pirates of Carrebean

Mkataba wake ulivunjwa kwa sababu ya kesi yake na mkewe..lakini kesi alishinda na Disney wakaomba radhi na kutangaza mkataba wake mpya na movie ya 6 itakuja
vipi davy jones na calypso hutaki kuyajua yaliowatokea ?
 
Kuna moja inaitwa pirates of stagnant aisee ile ni balaa haina tofauti na porn video
haswa pale walipoambiwa inside the room
ikawa dah
 
dah pole sana
angalia bongo movie wapo serious
Ukiona mtu anamkosoa had john dep ujue kiwango chake cha uchakataj wa muvi ni kikubwa snaa...mi nishatoka level hyo ya kuangalia muvi kama mti wa kawaida..yaam kama wew unavyoangalia muvi...mi niko level ya kuangalia muvi za aina yake kutoka na uchambuz na uelewa
1.siangalii low budget movies
2.siangalia movie ambazo si za ma director wakubwa.naangalia za ma director na producers wenye tuzo kubwa kubwa.golden globe etc
3.siangalii movie outside hollywood....yaan labda ziwe chache sanaaa
4.siangalii movies zenye masihara na characters weus wasiojua actin kama kina kelvin hurt...naangalia ma konki tu kina denzel ,cuba goodings na kizaz kipya wanaojielewa
5.siangalii movies zenye subtitle
6.siangalii movies zilizosambazwa/distributed/produced nje ya makampun kama warner bros...sony...lions gate etc..
Kamaa series bas iwe HBO n the likes

Sasa ndo uangalie level yangu ya kuangalia muvi..actor akizingua tunasema...nenda kwenye hyo muv yako halaf angalia critics za watu wanamsema huyo john dep..ndo utaamin nachoongea
..

Wew ni kapuku tu kwenye ulimwengu wa muvi.s
 
haya kaangalie avengers
 
Watoto wa kishua wanafaidi...
Jokes,
Baada ya kumaliza chuo sipati tena movie na kupakua inachukua mda
 
Nadhani At world End na On stranger Tide ndio bomba kwangu.. Then dead man tell no tales
Inawezekana nilinogewa na hiyo ya mwanzo kutokana na uwepo wa Keira Knightley, yule binti huwa ananikosha sana
 
Ukiona mtu anamkosoa had john dep ujue kiwango chake cha uchakataj wa muvi ni kikubwa snaa...mi nishatoka level hyo ya kuangalia muvi kama mti wa kawaida..yaam kama wew unavyoangalia muvi...mi niko level ya kuangalia muvi za aina yake kutoka na uchambuz na uelewa
1.siangalii low budget movies
2.siangalia movie ambazo si za ma director wakubwa.naangalia za ma director na producers wenye tuzo kubwa kubwa.golden globe etc
3.siangalii movie outside hollywood....yaan labda ziwe chache sanaaa
4.siangalii movies zenye masihara na characters weus wasiojua actin kama kina kelvin hurt...naangalia ma konki tu kina denzel ,cuba goodings na kizaz kipya wanaojielewa
5.siangalii movies zenye subtitle
6.siangalii movies zilizosambazwa/distributed/produced nje ya makampun kama warner bros...sony...lions gate etc..
Kamaa series bas iwe HBO n the likes

Sasa ndo uangalie level yangu ya kuangalia muvi..actor akizingua tunasema...nenda kwenye hyo muv yako halaf angalia critics za watu wanamsema huyo john dep..ndo utaamin nachoongea
..

Wew ni kapuku tu kwenye ulimwengu wa muvi.s

Naona umeshambulia tu bila kudefend hoja yako. Usimfananishe Johny Depp na vitu vya kijinga
 
Wew ni kapuku tu kwenye ulimwengu wa muvi

Hakuna unachojua PAKA MWEUSI WEWE
 
vipi davy jones na calypso hutaki kuyajua yaliowatokea ?
Calypso( sea goddess/mungu wa baharini) na Davy Jones walikuwa wapenzi, Calypso alimpa kazi Jones ya kuvusha roho za watu wote wanaofia baharini kwenda kwenye ulimwengu wa pili kwa ahadi kwamba kila baada ya miaka kumi Jones atakuja nchi kavu kuonana na Calypso,,baada ya miaka kumi kupita Jones alipoenda nchi kavu Calypso hakutokea ,Jones akaumia kuona Calypso amemsaliti Naye akaamua kuvujisha Siri kwa umoja wa mapirate(brethren court?) Jinsi yakumfunga Calypso katika mwili wa binadamu na asiwe na nguvu Tena..jamaa wakafanikiwa na Jones baada ya kurudi akaamua kuwa kwa sababu Moyo wake upo kwa ajili ya Calypso ndo akautoa na kuuweka kwenye locker then akalizika like locker kisiwani na funguo akaifunga kifuani kwake....akaachana na kazi aliyopewa na Calypso.... shortly baada ya Calypso kufunguliwa mwishoni kwa movie ya tatu Akina barbossa wakamwambia aliyekusaliti ni Davy Jones yaliyotokea baada ya Calypso kupata hasira ni Noma sana
 
Hakuna unachojua PAKA MWEUSI WEWE
Sibishan na kende hata sku1 sabab najua hujui kitu...u know me..i dont argue cheap

Naanzaje kubishana na watu wanaoangalia series za kikorea au bongo muvi au muv za kihind...wew tuliza kipago hapo hapo
 
NAAAM HIZI NDIO ZA KUANGALIA SASA, WENZETU WAKO MBALI SANA. NA HAZICHOSHI KUZINAGALIA MARA KWA MARA
 
haitakuchosha wala nn
kila nikikosa cha kuangalia huwa naangalia pirates of carrebean
 
Sibishan na kende hata sku1 sabab najua hujui kitu...u know me..i dont argue cheap

Naanzaje kubishana na watu wanaoangalia series za kikorea au bongo muvi au muv za kihind...wew tuliza kipago hapo hapo
Basi unajikuta we denzel mwnyw au samuel jackson.

Hata hao unaowatizama wewe,unajiona uko sayari ya mars wanaisubiriaga pirates of caribbean kwa hamu mbaya nkupe taarifa.
 
Barbosa: Thank you Jack
Sparrow: You're welcome
Barbosa: Not you, we named a monkey Jack.

Mipango ya Jack yote hua inanufaisha wengine Jinga sana. Ninazo zote 5 nasubiria mwakani mwendelezo kama itatoka au mpaka 2023.
Ila kuna CGI na VFX za kutosha tuache kulaumu wabongo muvi zote tano zimechezewa Studio
naziomba basi
 
Back
Top Bottom