Pira pantev maoni yangu

Pira pantev maoni yangu

Rico redi

Senior Member
Joined
Jul 15, 2023
Posts
163
Reaction score
313
Alihamdulilah tumeshinda
Kipindi cha kwanza nilishindwa kuelewa hata kidogo game plan ya mwalimu ya pale kati kuwepo Camara tu mbaya zaidi akichezeshwa kama no 6 binafsi mi ni muumini wa traits binafsi za mchezaji then ndo yafuate maelekezo ya mwalimu Camara ni mzuri zaidi kwenye kuchezesha timu pale anapokua na mpira na si kukaba hii ni fact na ndo maana simba kaanza kumiliki mpira baada ya kagoma kuingia na Camara kusogea juu

Kipindi cha kwanza katikati simba alitawaliwa mno timu ilikosa balance hata goli la kwanza unaona ilikua ni deadball kitu kingine nangu ni mzuri sana ila aongeze kujiamini ana back passes nyingi mno tukikutana na timu inayopress Kwa nguvu ni hatari sana de reuck nishawai kusema na narudia Tena ni beki mzuri sana ila kwenye 1 v 1 anapitika hafiki mguuni

Pili pantev inatakiwa atambue combination ya morice na mutale ni nzuri zaidi Kwa sababu wanaendana pia hawana ubinafsi na mwisho wanaweza kukupa kitu hata pale mbinu zako zinapokua zimefikia mwisho nilitegemea mpanzu ndo atoke na si mutale

Mpanzu aise dah ni mchezaji mzuri changamoto ni ubinafsi, ubinafsi, ubinafsi muda wote anacheza kivyake na si kitimu kila akipata mpira anawaza kukokota wakati sometimes Kuna mwingine anakua yupo kwenye nafasi ko ni suala la kugusa na kuachia na si kukimbia na mpira hakutakiwa kumaliza dk zote leo

Sowah goli la pili lazima usifu akili zake goli la 3 lazima usifu pia assist ya morice Abraham

Wasalaam
 
Mwisho wa siku?
 
Mimi naona umetoa maoni yako kistaarabu kabisa ila cha ajabu kolo wenzako wanakupinga na kukutukana sasa sijui walitakaje?

Kiufupi Simba huwa wana utindio wa ubongo
 
Alihamdulilah tumeshinda
Kipindi cha kwanza nilishindwa kuelewa hata kidogo game plan ya mwalimu ya pale kati kuwepo Camara tu mbaya zaidi akichezeshwa kama no 6 binafsi mi ni muumini wa traits binafsi za mchezaji then ndo yafuate maelekezo ya mwalimu Camara ni mzuri zaidi kwenye kuchezesha timu pale anapokua na mpira na si kukaba hii ni fact na ndo maana simba kaanza kumiliki mpira baada ya kagoma kuingia na Camara kusogea juu

Kipindi cha kwanza katikati simba alitawaliwa mno timu ilikosa balance hata goli la kwanza unaona ilikua ni deadball kitu kingine nangu ni mzuri sana ila aongeze kujiamini ana back passes nyingi mno tukikutana na timu inayopress Kwa nguvu ni hatari sana de reuck nishawai kusema na narudia Tena ni beki mzuri sana ila kwenye 1 v 1 anapitika hafiki mguuni

Pili pantev inatakiwa atambue combination ya morice na mutale ni nzuri zaidi Kwa sababu wanaendana pia hawana ubinafsi na mwisho wanaweza kukupa kitu hata pale mbinu zako zinapokua zimefikia mwisho nilitegemea mpanzu ndo atoke na si mutale

Mpanzu aise dah ni mchezaji mzuri changamoto ni ubinafsi, ubinafsi, ubinafsi muda wote anacheza kivyake na si kitimu kila akipata mpira anawaza kukokota wakati sometimes Kuna mwingine anakua yupo kwenye nafasi ko ni suala la kugusa na kuachia na si kukimbia na mpira hakutakiwa kumaliza dk zote leo

Sowah goli la pili lazima usifu akili zake goli la 3 lazima usifu pia assist ya morice Abraham

Wasalaam
Pira Pandev, Pira Bulgaria, Pira Tatoo moto Fire....
 
Back
Top Bottom