Pink n red combination

Kaka mshana jr ramadhani hii na miguu hio si unatutafutia balaa sisi ndugu zako tuliofunga. [emoji12] [emoji38] [emoji38]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
kakusudia kutushindisha njaa badala ya kufunga sasa
 
Asante kwa wema wako... angekuwa yule jamaa mwingine hivi sasa ningekuwa nshalamba ban ya wiki tatu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji817] [emoji115] [emoji781]
 
yaaani rangi ya pink tuuuu na hiyo ya maji ya kunde pamoja na red hahahah si mchezo broo
 
Ndo hivyo... Mi na Paw hatujafahamiana kaunta. Infact nimepanga kumzawadia mojawapo ya michepuko yangu ajivinjari kwa gharama zangu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu na bahati zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…