Pink n red combination

safi sana mshana wakati mwingine unatupa radha sana, wakati mwingine unatuwekea picha za kwenu kule
 
Hahahahahaaa mshanaaa hivi unajua kuwa miguu pia ina taswira nikimaanisha waweza mtambua mtu kwa kuona kiungo chake tuu.

Huyu dada bana aaahh basi acha niishie kusema Law Firm tuko vizuri....😛
Pale cut pamevimbiwa?[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…