Chanzo Cha taarifa !!Rwanda na burundi ni sawa ispokuwa Rwanda wanajitutumua zaidi, ndani ya hii wiki moja M7 kafyeka majasusi wa Rwanda 8 wenye uwezo wa hari ya juu na kuna kundi lingine la majasusi lipo on target nadhani leo watapita nao
Mkuu hebu uncode basiRwanda na burundi ni sawa ispokuwa Rwanda wanajitutumua zaidi, ndani ya hii wiki moja M7 kafyeka majasusi wa Rwanda 8 wenye uwezo wa hari ya juu na kuna kundi lingine la majasusi lipo on target nadhani leo watapita nao