mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Nakuusia umsujudie Allah sijda ya ukweli kumshukuru pamoja na kunyenyekea mambo manne.
1-Mshukuru Allah kwa kukufikisha mwezi mtukufu kwani wangapi hawakuushudia mwezi huo.
Allah kakuchagua wewe pamoja na kukukirimu kwa kuufikia mwezi huu mtukufu.kwa sababu akupenda,anataka kukusamehe,pamoja na kukuachia huru na moto......
2-Imma upande wa pili:
Muombe Allah akusaidie akuafikishe ktk kutenda mema,unayoyajua na usioyajua na akufanyie wepesi ktk kufanya mambo ya kheri.
3-Ni kushukuru neema kubwa iliokuzunguka ktk utulivu na amani,maji na chakula,ndg na jamaa,pia kumshukuru kwa kukupatia kivuli kwani nchi ngapi leo watamani utulivu hawana.
Alla hana uwezo wa kutufanyia na sisi kama alivyo wafanyia wao?
Kuwa mkweli pamoja na Allah...
4-Weka nia ya kua itakua ramadhani bora kwako wewe kwa kujitahidi zaidi na zaidi.
Usiikose fursa hii kubwa kwani tukiikosa sasa hatujui km tutaipata mwakani.
Kua na yakini ya kwamba Rab Rahim Alkarim atakulipa kwa lolote utakalo tenda!!
Allahumma ballighna ramadhan.
Najua uko online baada ya kusoma wasia huu tuma kwa unaempenda ili asikose kumsujudia Allah pindi atakapouona mwezi mtukufu wa ramadhani.