Mhe Pinda leo amelonga hapa Bukoba mida ya saa 12 na kusema
Pamoja na serkali kuleta maendeleo makubwa Kagera. Pamoja na shule, barabara na mkonga wa mawasiliano.
Bei ya sukari ataishughulikia katika ziara yake. Bukoba ni km 70 toka kiwandani. Hadi tar 8 itatelemka bei.
Kuh amani ya nchi anasema Kikwete amewavumilia sana watanzania. Anasema maandamano haya yanapima uvumilivu wa Kikwete. Ila anasema anavyojua yeye uvumilivu wake unakaribia mwisho. Watu wenyewe hata mabomu mnaogopa, likipigwa moja watu wanakimbia wala hakuna hata mmoja anayesimama. Karibu sasa atasema basi na hapo ndipo mtakapo ona cha moto.
My take baby face anatishia amani ya tz na kujenga hofu katika mioyo ya watu kuwa wakati wowote watashambuliwa na vyombo vya dola.

huyu naye alikosa cha kusema jamani???
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya, unaweza ukaonekana wa maana!
Mtoto wa mkulima na wewe.......pole
hata ww huwez kujibu hoja coz kama ungekua unaweza ungeanza kwanza kuonyesha mapungufu ya hiyo hotuba ya pinda thn ungeelewekaWameshaanza kutapatapa. Tatizo wanamtumia mtu ambaye hawezi kujibu hoja zaidi ya kulia lia.
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaonya wakazi wa Manispaa ya Bukoba na Watanzania wote kwa ujumla kuacha kuchezea hali ya amani ambayo imekuwepo kwa muda mrefu hapa nchini.
Ametoa onyo hilo jana jioni (Ijumaa, Machi 4, 2011), wakati akijibu risala ya Wazee wa Manispaa hiyo ambao waliwaomba Watanzania wote waitunze amani na wasikubali kudanganywa na kauli za uchochezi zenye lengo la kuwatia hofu na kuwakatisha tamaa.
Akizungumza na maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Bukoba kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mayunga (Uhuru Platform), Waziri Mkuu alisema: Wana-Kagera mnajua maana ya vita kwa sababu mmepata rasharasha mwaka 1972 wakati Idd Amin aliposema anataka aje kunywa chai Mwanza lakini ninyi pia ni mashahidi wa vita halisi ya mwaka 1978, alisema.
Hivi majuzi tumepata matatizo kule Gongo la Mboto, wakati watu wanakimbia kuokoa maisha yao, wako wengine waaliokuwa wakikimbilia kwenye nyumba za wenzao ili kuiba mali zilizoachwa. Ni ajabu iliyoje kumsikia mtu akitamka: Bora vurugu bwana! alishangaa.
Alisema kama kamwe wananchi wasikubali uchochezi huo kwani maandamano na vurugu siyo suluhisho na amani ikishapotea kuirudisha ni gharama kubwa mno.
waziri mkuu mizengo pinda amewaonya wakazi wa manispaa ya bukoba na watanzania wote kwa ujumla kuacha kuchezea hali ya amani ambayo imekuwepo kwa muda mrefu hapa nchini.
Ametoa onyo hilo jana jioni (ijumaa, machi 4, 2011), wakati akijibu risala ya wazee wa manispaa hiyo ambao waliwaomba watanzania wote waitunze amani na wasikubali kudanganywa na kauli za uchochezi zenye lengo la kuwatia hofu na kuwakatisha tamaa.
Akizungumza na maelfu ya wakazi wa manispaa ya bukoba kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mayunga (uhuru platform), waziri mkuu alisema: wana-kagera mnajua maana ya vita kwa sababu mmepata rasharasha mwaka 1972 wakati idd amin aliposema anataka aje kunywa chai mwanza lakini ninyi pia ni mashahidi wa vita halisi ya mwaka 1978, alisema.
hivi majuzi tumepata matatizo kule gongo la mboto, wakati watu wanakimbia kuokoa maisha yao, wako wengine waaliokuwa wakikimbilia kwenye nyumba za wenzao ili kuiba mali zilizoachwa. Ni ajabu iliyoje kumsikia mtu akitamka: Bora vurugu bwana! alishangaa.
Alisema kama kamwe wananchi wasikubali uchochezi huo kwani maandamano na vurugu siyo suluhisho na amani ikishapotea kuirudisha ni gharama kubwa mno.
kila kukicha, kuna watu wanazua madai ya kila aina, mara kura zimeibiwa, mara katiba mpya; walichoamua ni kutembea nchi nzima pengine hawana kazi za kufanya ndiyo maana wanatembea kuitisha maandamano huku na kule, alisema.
Alisema: kama suala ni kuingoa ccm madarakani ni laima wajiulize maswali ya msingi ni vipi wataweza kuindoa ccm katika matawi, mashina, kwenye kata na tena mjijengee uhalali kwa wananchi hadi wawakubali.
msipofanya hivyo, mtatembea weee lakini ccm haingoki ngo!, alionya na kuongeza kwamba: uongozi unategemea wananchi wanavyotutazama wanatupima, je watu hawa wataweza kutusaidia? Je watajali shida zetu? alitahadharisha.
Mapema, katika risala yao iliyosomwa na mzee haruna almasi, wazee hao waliomba kupatiwa matibabu bila mlolongo mrefu ili wasihangaike. tunaomba serikali ituwekee utaratibu mwepesi wa kuwasaidia wazee kupata tiba , alisema mzee almasi.
Wazee hao ambao walisema wanaiunga mkono hotuba ya rais jakaya kikwete aliyoitoa februari 28, 2011 wakati akilihutubia taifa, pia waliomba kuwe na uwakilishi wa wazee katika ngazi mbalimbali za vikao vya kufanya maamuzi kuanzia kwenye serikali za mitaa hadi bungeni.
Kesho (jumapili, machi 6, 2011), waziri mkuu atakuwa wilayani chato ambako anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la halmashauri ya wilaya hiyo na kufungua saccos ya mshikamano kabla ya kuzungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye shule ya msingi ya chato.
Imetolewa na:
Ofisi ya waziri mkuu,
jumamosi, machi 05, 2011
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaonya wakazi wa Manispaa ya Bukoba na Watanzania wote kwa ujumla kuacha kuchezea hali ya amani ambayo imekuwepo kwa muda mrefu hapa nchini.
Ametoa onyo hilo jana jioni (Ijumaa, Machi 4, 2011), wakati akijibu risala ya Wazee wa Manispaa hiyo ambao waliwaomba Watanzania wote waitunze amani na wasikubali kudanganywa na kauli za uchochezi zenye lengo la kuwatia hofu na kuwakatisha tamaa.
Akizungumza na maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Bukoba kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mayunga (Uhuru Platform), Waziri Mkuu alisema: "Wana-Kagera mnajua maana ya vita kwa sababu mmepata rasharasha mwaka 1972 wakati Idd Amin aliposema anataka aje kunywa chai Mwanza lakini ninyi pia ni mashahidi wa vita halisi ya mwaka 1978," alisema.
"Hivi majuzi tumepata matatizo kule Gongo la Mboto, wakati watu wanakimbia kuokoa maisha yao, wako wengine waaliokuwa wakikimbilia kwenye nyumba za wenzao ili kuiba mali zilizoachwa. Ni ajabu iliyoje kumsikia mtu akitamka: Bora vurugu bwana!" alishangaa.
Alisema kama kamwe wananchi wasikubali uchochezi huo kwani maandamano na vurugu siyo suluhisho na amani ikishapotea kuirudisha ni gharama kubwa mno.
"Kila kukicha, kuna watu wanazua madai ya kila aina, mara kura zimeibiwa, mara Katiba mpya; walichoamua ni kutembea nchi nzima … pengine hawana kazi za kufanya ndiyo maana wanatembea kuitisha maandamano huku na kule," alisema.
Alisema: "Kama suala ni kuing'oa CCM madarakani ni laima wajiulize maswali ya msingi ni vipi wataweza kuindoa CCM katika matawi, mashina, kwenye kata na tena mjijengee uhalali kwa wananchi hadi wawakubali."
"Msipofanya hivyo, mtatembea weee lakini CCM haingoki ngo!," alionya na kuongeza kwamba: "Uongozi unategemea wananchi wanavyotutazama… wanatupima, je watu hawa wataweza kutusaidia? Je watajali shida zetu?" alitahadharisha.
Mapema, katika risala yao iliyosomwa na Mzee Haruna Almasi, wazee hao waliomba kupatiwa matibabu bila mlolongo mrefu ili wasihangaike. "Tunaomba Serikali ituwekee utaratibu mwepesi wa kuwasaidia wazee kupata tiba…", alisema Mzee Almasi.
Wazee hao ambao walisema wanaiunga mkono hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa Februari 28, 2011 wakati akilihutubia Taifa, pia waliomba kuwe na uwakilishi wa wazee katika ngazi mbalimbali za vikao vya kufanya maamuzi kuanzia kwenye Serikali za Mitaa hadi Bungeni.
Kesho (Jumapili, Machi 6, 2011), Waziri Mkuu atakuwa wilayani Chato ambako anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la Halmashauri ya Wilaya hiyo na kufungua SACCOS ya Mshikamano kabla ya kuzungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye shule ya msingi ya Chato.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMAMOSI, MACHI 05, 2011
Wameshaanza kutapatapa. Tatizo wanamtumia mtu ambaye hawezi kujibu hoja zaidi ya kulia lia.
Umenena mkuu,
Tutailinda amani yetu kwa gharama yoyote ile.
Tunisia na Misri sio chama cha upinzani kama hapa Tz ndicho kilishawishi raia wanaöndamana ni wanaCDM na wala sio wapenzi wa vyama vingine,Cdm kikitaka kupata aibu kikaandamane Zenji,Cdm peke yenu msijidanganye kuwa mtaweza,ili yatokee hayo ni cc kuviweka kando vyama na kuliweka Taifa mbele