PINDA: The judge, the jury and the prosecutor!

PINDA: The judge, the jury and the prosecutor!

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
hivi majuzi tulisikia serikali ikituambia kuwa swala lake na madaktari limeshindikana kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo na hivyo serikali kuamua kulipeleka mahakamani na hatimaye mahakama ikatoa uamuzi kuwa mgomo usitishwe.
jana tulisikia ahadi ya waziri mkuu kuwa liwalo na liwe na leo ameahidi kutoa msimamo wa serikali dhidi ya mgomo wa madaktari..sasa najiuliza kama swala hili liko mahakamani iweje Pinda alisemee na sio mahakama?
 
Serikali Dhaifu na Upuuzi wa CCM !!!
Mwache tu aiingizie serikali hasara ya mabilioni pale madaktari watakapomgalagaza mahakamani akijaribu kuwafukuza!!!
 
Sijui bado wako kwenye dunia ya one party system...when the system was in total control of our lives
 
Today, people struggle to find what's real. Everything has become so synthetic that a lot of people, all they want is to grasp onto hope.
 
Pinda amepoteza credibility yake yote aliyojijengea katika kipindi chake chote alichotumikia umma, sasa hivi amekuwa kama msukule vile...
 
Back
Top Bottom