Pinda ni mzigo katika serikali ya Kikwete

Pinda ni mzigo katika serikali ya Kikwete

Ninaamini kwamba wengi wenu mtanipinga kwa kuwa mnamwona Pinda ni mpole, mwenye hekima na asiyependa kupayuka hovyo. Lakini kwa mtizamo wangu, baada ya nchi kuwa na Rais asiye mtendaji, tulipaswa kuwa angalau na waziri mkuu anayeziba mapungufu ya Rais. Lakini huyu waziri mkuu alivyo, ni bora hata ya Kikwete mwenyewe. Ni waziri mkuu asiye na maamuzi, kila jambo atajibu "nafikiri" (nafikiri kuna haja ya kupunguza matumizi serikalini - majibu yake haya) hana majibu na mamlaka ya kuagiza kama waziri mkuu. Hajitambui wala hajui kama yeye ndiye msimamizi mkuu wa mawaziri wote. Hana sauti wala hawezi kuwakemea mawaziri wake. Wakati tunalalamikia utendaji wa baadhi ya mawaziri wa Kikwete, ni vema pia tukasema ule ukweli kwamba huo utendaji mbovu wa mawaziri wengine unaanza na Pinda mwenyewe.

Ukiangalia serikali zote zilizopita, kulikuwa angalau kuna mmojawapo kati ya Rais au waziri mkuu ambaye alikuwa na nguvu sana kumshinda mwenzake na alikuwa na uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi ya haraka kwa niaba ya serikali. Sasa hawa tulionao hakuna mwenye unafuu kuliko mwenzie. Huyu ni waziri mkuu aliyeshindwa kusimamia project yoyote ya serikali. Ameanzisha Kilimo kwanza kwa gharama kubwa, akawaacha mawakala wanaiba pembejeo matokeo yake project imekufa bila kuleta mafanikio yoyote. Jana tumesikia wilaya 56 zina upungufu wa chakula. Hicho kilimo kwanza kimetusaidiaje? Kama JK anataka kufanya mabadiliko yoyote ya mawaziri, basi na waziri mkuu pia amuondoe. Huyu bwana ni mzigo mwingine kwa serikali.

Mkuu tatizo la Pinda kama viongozi wengine wa TZ hawana historia yeyote ya utendaji au uwajibikaji uliotukuka. Uteuzi mara nyingi hufanywa kuangalia unyenyekevu and the so called heshima kwa yule anayewateua. Funny enough kuna hata elements za ukanda ziliplay part kwa uteuzi wa Pinda.

Hebu jaribu kufikiria na kukumbuka historia ya Pinda, je amewahi kulifanyia nini taifa hili kama mwanasiasa? Alipokuwa TAMISEMI alifanya nini tofauti na waliomtangulia? Alibadilisha nini au kuweka utaratibbu bora upi unaokumbukwa na kuenziwa huko TAMISEMI kwamba hii ni ubunifu wa Pinda.
 
This is real a good comment. Naona hapa kuna issue pia ya background ina apply. Binafsi sijawahi kujua kabisa ni nini kilichowafanya CCM wawe na imani kubwa sana na Pinda. Manake hata kabla ya uteuzi wa Lowassa, uongozi wa CCM wakiwemo hata akina Mkapa walimpendekeza Pinda ndiyo awe waziri mkuu, lakini Kikwete ndiye aliyemkataa pale mwanzoni. Sasa najiuliza uzuri wa Pinda mbele ya CCM ulikuwa ni nini? Au ndo hizo habari za unyenyekevu mbele ya aliyemteua. Yaani kwa viongozi waliopo sasa, nashawishika kusema Tanzania haina viongozi kwa sasa, tusubiri 2015, pengine Mungu atatusaidia tupate kiongozi wa kuweza kutufikisha pazuri.
 
Tukijadili utendaji na uwezo wa viongozi wetu ni muhimu tuangalie pia utaratibu uliowafikisha kwenye nafasi zao. Kama kuna viongozi wabovu, basi jamii nzima inastahili kubeba lawama.
Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wake Mkuu Mizengo Pinda ni kielelezo tosha cha jinsi jamii ya kitanzania ilivyo.
Hawakupata madaraka kwa mapinduzi bali wamechaguliwa na wananchi kwa njia ya kidemokrasia.
Kama inaonekana kuwa hawa viongozi hawakidhi matarajio ya watanzania, basi tatizo kubwa lipo kwa jamii yenyewe kwa kuwa jamii mbovu itatoa viongozi wabovu na jamii nzuri itatoa viongozi wazuri.
Siyo rahisi kwa jamii yenye watu wenye uelewa mzuri wakakubali kuongozwa na viongozi wabovu, watawaondoa tu.
 
Ndibalema hebu tupe mauzoefu hapo. Hali gani inayosababisha Pinda awe hivyo alivyo? Yaani Pinda alivyo, ni nafuu hata ya Kawawa.

Pinda sio mzigo mzigo ni Boss wake JK. Otheriwise ukitaka pinda asiwe mzig labda awe msanii kama alivyokuwa Lowasa.

Pinda unamuona ana mapungufu kuliko kawawa sababu kipindi cha kawawa hakukuwa na mafisadi wengi. Boss wa kawawa hakuwacheka mafisadii........

Pinda hachezi na media. Sio ajabu aonekane mbaya. Kwa maona yako Lukolo hii nch yetu itaongozwa na wasanii tu.
 
Pinda ni jembe!Ni msafi na ni mchapakazi hodari pia?Mnataka Pinda afanye nini kama serikali nzima iko hivyo?
 
Mkuu unajua ni kwanini Pinda alikuwa anakataa kuendelea na na nafasi hii kabla hajabembelezwa sana na kukubali?

Tuambie. Tuelewe. Tumhukumu kwa hoja za mantiki. Maana mpaka sasa hakuna mtu mwenye akili anaweza kumkubali Pinda kuwa ni mtu anayejua wajibu wake kama kiongozi. Yupo yupo tu. Tueleze tafadhali, kumbe alilazimishwa? Basi kama alilazimishw ana kukubali maana yake ni kwamba walifikia makubaliano fulani na huyo aliyemwomba. Makubaliano yapi hayo? Je ni kwa ajili ya kuboresha utendaji na kumpatia fursa zaidi ya kutumia madaraka yake itakiwavyo? Was it for public interest (kukataa, kukubali na kubembeleza). Nitashukuru sana.
 
Hatuhitaji nafasi ya waziri mkuu kwa nafasi kuanza.
 
pinda sio mzigo , mzigo ndio nyinyi mlioichagua ccm kurudi kumalizia chao, hawa walijua yakuwa mafisadi papa yanashinikiza kuchaguliwa kwa viongozi legele kila idara ili kulinda mali zilizoporwa na hawa vibaka papa. kila cheo kikubwa kuna mhusika mkuu legelege.
 
Ninaamini kwamba wengi wenu mtanipinga kwa kuwa mnamwona Pinda ni mpole, mwenye hekima na asiyependa kupayuka hovyo. Lakini kwa mtizamo wangu, baada ya nchi kuwa na Rais asiye mtendaji, tulipaswa kuwa angalau na waziri mkuu anayeziba mapungufu ya Rais. Lakini huyu waziri mkuu alivyo, ni bora hata ya Kikwete mwenyewe. Ni waziri mkuu asiye na maamuzi, kila jambo atajibu "nafikiri" (nafikiri kuna haja ya kupunguza matumizi serikalini - majibu yake haya) hana majibu na mamlaka ya kuagiza kama waziri mkuu. Hajitambui wala hajui kama yeye ndiye msimamizi mkuu wa mawaziri wote. Hana sauti wala hawezi kuwakemea mawaziri wake. Wakati tunalalamikia utendaji wa baadhi ya mawaziri wa Kikwete, ni vema pia tukasema ule ukweli kwamba huo utendaji mbovu wa mawaziri wengine unaanza na Pinda mwenyewe.

Ukiangalia serikali zote zilizopita, kulikuwa angalau kuna mmojawapo kati ya Rais au waziri mkuu ambaye alikuwa na nguvu sana kumshinda mwenzake na alikuwa na uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi ya haraka kwa niaba ya serikali. Sasa hawa tulionao hakuna mwenye unafuu kuliko mwenzie. Huyu ni waziri mkuu aliyeshindwa kusimamia project yoyote ya serikali. Ameanzisha Kilimo kwanza kwa gharama kubwa, akawaacha mawakala wanaiba pembejeo matokeo yake project imekufa bila kuleta mafanikio yoyote. Jana tumesikia wilaya 56 zina upungufu wa chakula. Hicho kilimo kwanza kimetusaidiaje? Kama JK anataka kufanya mabadiliko yoyote ya mawaziri, basi na waziri mkuu pia amuondoe. Huyu bwana ni mzigo mwingine kwa serikali.

Tulitegemea tumempata mkombozi kama Marehemu Sokoine, akaja na reputation kwamba yeye na sawa na sisi, na uzuri zaidi tukaambiwa ni mtoto wa mkulima.
Sasa ametugeuka, kumbe yeye sio kama sisi, keshavishwa gamba, SIO TENA NA MTOTO WA MKULIMA!
 
Sidhani kama hata Pinda anapata nafasi ya kushaurina na mkulu, ikizingatiwa muda mwingi yupo mawinguni, so anajaribu analoweza yeye au via phone na mkulu.
 
Yuko njiani kuondoka ndio maana S6 ameanza kupasha viungo moto!
 
Ninaamini kwamba wengi wenu mtanipinga kwa kuwa mnamwona Pinda ni mpole, mwenye hekima na asiyependa kupayuka hovyo. Lakini kwa mtizamo wangu, baada ya nchi kuwa na Rais asiye mtendaji, tulipaswa kuwa angalau na waziri mkuu anayeziba mapungufu ya Rais. Lakini huyu waziri mkuu alivyo, ni bora hata ya Kikwete mwenyewe. Ni waziri mkuu asiye na maamuzi, kila jambo atajibu &quot;nafikiri&quot; (nafikiri kuna haja ya kupunguza matumizi serikalini - majibu yake haya) hana majibu na mamlaka ya kuagiza kama waziri mkuu. Hajitambui wala hajui kama yeye ndiye msimamizi mkuu wa mawaziri wote. Hana sauti wala hawezi kuwakemea mawaziri wake. Wakati tunalalamikia utendaji wa baadhi ya mawaziri wa Kikwete, ni vema pia tukasema ule ukweli kwamba huo utendaji mbovu wa mawaziri wengine unaanza na Pinda mwenyewe.<br />
<br />
Ukiangalia serikali zote zilizopita, kulikuwa angalau kuna mmojawapo kati ya Rais au waziri mkuu ambaye alikuwa na nguvu sana kumshinda mwenzake na alikuwa na uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi ya haraka kwa niaba ya serikali. Sasa hawa tulionao hakuna mwenye unafuu kuliko mwenzie. Huyu ni waziri mkuu aliyeshindwa kusimamia project yoyote ya serikali. Ameanzisha Kilimo kwanza kwa gharama kubwa, akawaacha mawakala wanaiba pembejeo matokeo yake project imekufa bila kuleta mafanikio yoyote. Jana tumesikia wilaya 56 zina upungufu wa chakula. Hicho kilimo kwanza kimetusaidiaje? Kama JK anataka kufanya mabadiliko yoyote ya mawaziri, basi na waziri mkuu pia amuondoe. Huyu bwana ni mzigo mwingine kwa serikali.
<br />bac km ni ivyo yule taita wa mapacha 3 ni jembe
 
Lakini Pinda anayo nafasi ya kumwambia rais wake &quot;this is enough&quot; tulia tujenge nchi. Kama anashindwa kufanya hayo basi na yeye ana shida. Na ndipo ninaposema hana uwezo wa kuwa waziri mkuu.
<br />bac lowasa kichwa
 
Back
Top Bottom