WamLola
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 343
- 122
Kwa namna watendaji wa serikali wanavyojifanyia maamuzi ya hovyo mpaka baadhi yao wanachota mabilioni kwenye magunia imedhihirika kuwa ndg Pinda kaonyesha si tu uwezo mdogo wa kujua Bali udhaifu maradufu.
Pinda tangu anateuliwa hajawahi kumwajibisha mtu yeyote wala kutoa onyo wala kalipio wala katazo lolote kwa kinywa chake au dhati ya moyo wake.
Pinda hajawahi hata kuandika barua ya kuwawajibisha Wakurugenzi ambao wamejaza kwenye makabati hati chafu na zenye Mashaka ya kutisha.Pinda yuko kimyaa utadhani Tamisemi hakuna uozo .
Pinda walio chini yake wanajiandikia perdiem na kusafiri na kufunga mikataba nje ya Nchi, Pinda amekalia kampeni ya Kufuga nyuki. Hajui kinachoendelea.
Pinda amekalia maamuzi ya Operation Tokomeza bila kujali waliothirika wana hali gani Leo na hawajalipwa Fidia yenye yuko tu anasubilia aandikiwe na Akina Mhongo. Udhaifu uliopitiliza.
Pinda kwake yeye ni mwiko hata kutembelea wilayani kujionea ujenzi wa Maabara na wananchi wananyanyaswa na michango ya Elfu tano, Yeye ameweka "mwiko" mpya kuwa ni MWIKO siku ipite bila kulamba kijiko cha asali. What a poor thinking Prime Minister!!
Pinda hata kujibu Maswali ya serikali amekuwa akibahatisha, Alhamis Maswali ya papo kwa hapo majibu yake yamekuwa "Asante tutaangalia namna ya kufanya" baada ya hapo kafanya nini work done is equal to zero.
Pinda ni dhaifu kuliko udhaifu wenyewe kwani kwa hili la Escrow Account na maelezo yake amejidhalilisha na kuweka wazi kuwa ni dhaifu maradufu.
Wazee wa Sumbawanga na Katavi mshauri huyu Mzee akipona hapa aende akamsaidie Bibi Tunu kulea Vitukuu.