Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,699
- 11,298
Pinda siyo mtoto wa mkulima ila ni mtoto wa Escrow
Pinda anaingia kwenye historia kama waziri mkuu aliyejaribiwa kubuliwa madaraka mara mbili!
Pole sana Pinda hakiika ni vyema ukapumzika.URAHISI NI RAHISI ..
KWENYE HALI YA UTENDAJI MBOVU ...MAWAZIRI WAMEBADILISHWA MARA TATU CHINI YAKE ...
KAPOKEA MGAWO DOLA MILIONI 5 ESCROW NA ANAYEMSHIKIA HIZO PESA ..PCCB WANAMJUWA WAMEMSITIRI ( na Jamaa atakujakumdhulumu) ...... ANAGAWA KAZI KIFISADI KWA KINA JANET MASABURI ........NA KUNA VIBALI VYA SUKARI VINATOKA HUKU VIWANDA VIPO HOI ....
KILA MARA MAWAZIRI WANAONDOLEWA KUMNUSURU WAZIRI MKUU ....LEO HADI EZEKIEL MAIGE ANALALAMIKA ...ANASEMA ANAPONGEZA BUNGE ANGALAU HAWA WAMESIKILIZWA ...LAKINI BUNGE LIMEWAJIBISHA "baadhi tu " YA WALIOTUHUMIWA .......
Pole sana Pinda hakiika ni vyema ukapumzika.
Afadhali mzee wa maamuzi magumu
Pinda analindwa na mfumo wa kifisadi ndani ya ccm, wabunge walipaswa kumfukuza kazi mara moja, badala ya kuwatimua kina muhongo tu!
SIYO TUU DHAFU BALI NI GOGOVIVU !! Hawa walikuwa wakomunisti walioandaliwa kutawala nchi kikomunisti. Hivyo wakat huu wa demokrasia ya kweli hawajui kbisaa wawaambie nini wananchi wala nini cha kufanya ili kujenga nchi. wewe chunguza mwenzake Mkama aliyekuwa katibu mkuu wa CCM. Yaani kaingia madarkani na kuondolewa bila hata ya kuongea kitu ch maana na wanachi!
Tena sana......jamaa ni dhaifu kweli kweli
Kama ni dhaifu kwanini mwamsemasema? Yaani ninyi ni manyari kweli, hata mjinga tuu atawatambua. ..
Nani anamsema sema zaidi ya Masaburi na mke wake
Pinda Hovyooooooooooooooooooo bora hata NAPE x 100000...
Afadhali Pinda kuliko huyo mwizi wenu.