Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
Hii nchi bwana inakoelekea mi sipaelewi kabisa...Majuzi mkulu wa nchi yaani JK alikuwa anaendelea kuwashawishi watz watumie zile mashine za TRA ili kuongeza kodi, sasa imekuwa ni zamu ya Pinda na mama salma kuutangaza mlima kilimanjaro ili tuupigie kura uwe katika maajabu saba ya dunia.
Hivi hakuna namna nyingine ya kuwashawishi watz kuupigia kura mlima kili mpaka hawa watu? Au wanadhani watz tunawapenda sana kiasi cha kwamba tukiona sura zao kwenye tv basi tutashawishika kupiga kura?
Kwa hasira nilizonazo binafsi na hawawanaotafuna kodi zetu, nikiona wanakitangaza kitu hata attention inapotea...kwa ujumla napata kichefuchefu, akheri wangetumia nia ingine kuwashiwishi watz waupigie kura mlima kilimanjaro kuliko kuuza sura zao!
Am bored to see them on my Tv screen!!!!!!!!!!