Pinda na Mama Salma kuutangaza Ml.Kilimanjaro

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Hii nchi bwana inakoelekea mi sipaelewi kabisa...Majuzi mkulu wa nchi yaani JK alikuwa anaendelea kuwashawishi watz watumie zile mashine za TRA ili kuongeza kodi, sasa imekuwa ni zamu ya Pinda na mama salma kuutangaza mlima kilimanjaro ili tuupigie kura uwe katika maajabu saba ya dunia.
Hivi hakuna namna nyingine ya kuwashawishi watz kuupigia kura mlima kili mpaka hawa watu? Au wanadhani watz tunawapenda sana kiasi cha kwamba tukiona sura zao kwenye tv basi tutashawishika kupiga kura?
Kwa hasira nilizonazo binafsi na hawawanaotafuna kodi zetu, nikiona wanakitangaza kitu hata attention inapotea...kwa ujumla napata kichefuchefu, akheri wangetumia nia ingine kuwashiwishi watz waupigie kura mlima kilimanjaro kuliko kuuza sura zao!
Am bored to see them on my Tv screen!!!!!!!!!!
 
Walikuwa wapi siku zote? Imebaki siku chache ndio wanafungua macho. Wapinzani wetu ni South Africa na wao walifungua kampen ya kupiga kura kwa mbwembwe nyingi na uhamasishaji wa hali ya juu.
Tanzania tumebakia zima moto tu na majibu mepesi.
 
hata huo mlima ukiwa katika 7 wonders nini kitabadilika hapa tz? tuna migodi mingapi mbona hakuna kinachoeleweka? sanasana watazidi kufaidi hao walioko magogoni....sasa wamekumbuka shuka kumeshakucha...wanahaha.....
je, hivi kuwafanya watz wapigie kura mpaka waione sura ya pinda na mama salma kwenye luninga? hakuna namna ingine?
 
jamani kuna mambo mengine hayaamuliwi kwa kura! Kwanza hao wanaotambua maajabu ya dunia ni akina nani? Kila alichoumba Mungu ni maajabu tena ajabu kubwa kuliko yote ni sisi binadamu!! Wasituzingue hawa wazungu!
 
ni lazima 2jiulize baadhi ya maswali kabla ya kupiga kura...tuna misitu, mbuga za wanyama, migodi na rasilimali nyingi sana, zimetusaidiaje sisi watz? haitakuwa na umuhimu wowte hata huo mlima ukiwa ktk 7 wonders.....mi binafsi sidhani kama ntapiga kura. siyo kwa sabab sipendi kilimanjaro ishinde bali ni kwa sabab sioni manufaa kwa watz walio wengi hata huo mlima ukiwa ktk 2 wonders au one wonder of the world!!!!
Maswali ya msingi sana haya
 
hakuna maana kama hata kabla ya kupga kura kinachopatikana kinaliwa na wajanja wachache tu
 
kuna wajinga kibao kwenye taasisi mbalimbali wanatakiwa kufanya hizi kazi za kishenzi sio p.m,prezdaa

zikija ishu za muhimu kama umeme,katiba wanawarushia mpira wapuuzi wa chini yao
 
Walitufundisha ''mnapinga katiba ya 1977 na hamjaisoma''.Sasa iweje watulazimishe tuupigie kura mlima kilimanjaro wakati wanafahamu watz wengi hatuujui,na maajabu yake hatuyajui.watupeleke kwanza tukauone na maajabu yake then voting.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom