Pinda na kauli tata kuhusu gesi

Pinda na kauli tata kuhusu gesi

Kwani tpdc inashughulikia gesi peke yake hadi makao makuu yajengwe mtwara ?? Naomba uniweke sawa katika hili,na je itakuwaje pale gesi itavumbuliwa eneo jingine katika tanzania na ikawa na ujazo mkubwa kuzidi hii ya mtwara,status ya tpdc itakuwaje?? Naomba kufahamishwa vizuri.
 
Wewe sina jinai umechemsha. Kunywa Maji ukalale. Nakunukuu:" Kiwanda cha kusafishia GAS kitajengwa Madiba -Mtwara " ,Hapo ni kama uliwatusi tena wana Mtwara, Mh. Jk bosi wa Pinda alitamka wazi kiwanda kitajengwa kinyerezi na ndipo uzinduzi na sherehe ilifanyika. Kwa hiyo hilo la kujenga plant ya kusindika na kusafisha Gas Mtwara ni jipya." Mwisho wa kunukuu. Kiwanda cha kusafisha gesi kitajengwa Mtwara. Kinyerezi kunajengwa mitambo ya Umeme. Lakini Mtwara pia ITAJENGWA mingine. Upo hapo. Una swali la nyongeza
 
Gas imegunduliwa kwa wingi Mtwara na Mafuta vile vile... so unataka makao makuu yawe wapi?
 
Wewe sina jinai umechemsha. Kunywa Maji ukalale. Nakunukuu:" Kiwanda cha kusafishia GAS kitajengwa Madiba -Mtwara " ,Hapo ni kama uliwatusi tena wana Mtwara, Mh. Jk bosi wa Pinda alitamka wazi kiwanda kitajengwa kinyerezi na ndipo uzinduzi na sherehe ilifanyika. Kwa hiyo hilo la kujenga plant ya kusindika na kusafisha Gas Mtwara ni jipya." Mwisho wa kunukuu. Kiwanda cha kusafisha gesi kitajengwa Mtwara. Kinyerezi kunajengwa mitambo ya Umeme. Lakini Mtwara pia ITAJENGWA mingine. Upo hapo. Una swali la nyongeza

Sawa Mkuu naenda kulala...Kwa nini mitambo hiyo haikujengwa ? ama ndiio sanaa kuwa sio megawatt 300 ni megawatt 600!
 
Usikubari kulala kaka, hatulali mpaka kieleweke. Tukikosea kidogo tunajisahihisha tunaendelea na safari. Pinda ni mtu wa kuharibu tu kama kwa madaktari. Wanafanya kila njia kumfurahisha bosi wao mwenye dili. Gas haiendi kwa taarifa yenu.
 
pamoja sana mkuu..
 
Pinda alikuwa anaandaa mazingira ya hotuba ya JK ya mipasho. JK hakubali kushindwa
 
Back
Top Bottom