Pinda na BomoaBomoa

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
444
Pinda aingilia kati katika mchakato mzima wa Bomoabomoa uliokua unaendelea akisema usimamishwe ili tathimini ya nchi nzima ifanyike kwanza. Pinda alisema hayo jana akiwa Chato Mkoani Kagera.

Kutokana na kauli hiyo sizani kama ilani yao ya uchaguzi inaweza kutekelezeka. Kilichokua kinafanywa na Magofuli ni ktk utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi .
 
Back
Top Bottom