Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema haina budi sasa Kanuni za bunge zirekebishwe ili kuepuka Wabunge kutoka Nje ameyasema muda huu.
===========================================
===========================================
Anaendelea kuchangia hivi sasa huku akionyesha kukerwa sana na wabunge wa upinzani amesema wabunge hao hususia vikao wanapoona wameshindwa hoja, wanazidiwa hoja, hawana pa kutokea.. Akasema kuhusu susla la balozi wao kama serikali wamelichukua na watatoa maelekezo. Aidha hatua za kidiplomasia zitachukuliwa pia.
Aidha amewataka wabunge pindi wakiwa na ushahidi wa jambo wawasilishe kwa spika badala ya kuishia kutuhumu barabarani au kwa maneno tu.