Pinda awakera Polisi

Pinda awakera Polisi

daniel merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
277
Reaction score
98
HATUA ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenda kuhani msiba wa mtoto wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga ‘Mawe Matatu', bila kufika hospitalini Bugando kumjulia hali askari aliyejeruhiwa vibaya wakati akipima ajali iliyosababisha kifo hicho, imewakera askari polisi wakidai hawathaminiwi.

Pinda ambaye alikuwa mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya Taasisi ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa, alifika nyumbani kwa Kitwanga eneo la Misungwi juzi, kuhani msiba wa mtoto huyo, Vedastus Kitwanga, aliyepata ajali mbaya Agosti 19 mwaka huu, eneo la Njia Panda ya barabara ya Tanesco na Bandari wakati akimsaidia mwenzake aliyekuwa amepata ajali awali.

Wengine waliyofika kwa Kitwanga ni Mzee Mkapa na Mama Salma Kikwete, ambapo baadhi ya askari waliliambia gazeti hili kwamba, kitendo hicho cha viongozi kuishia nyumbani kwa kiongozi mwenzao pasipo kwenda Bugando kumjulia hali askari aliyejeruhiwa akitimiza majukumu ya kitaifa ni ubaguzi na kutowathamini.

"Sawa wana utashi wa kwenda kumfariji yeyote, lakini huyu askari mwenzetu WP 4132 Koplo Hamida aliyelazwa Bugando alijeruhiwa wakati akipima ajali iliyosababisha kifo cha mtoto wa Kitwanga. Huyu naye bado alihitaji faraja ya viongozi wetu hao, ila hawakufanya hivyo.

"Pinda alikuwa hapa mjini, ameendesha vikao vya CCM usiku na kutangaza nia ya kugombea urais, halafu kesho yake akapata muda wa kwenda Wilaya nyingine ya Misungwi kwa Kitwanga kuhani msiba wa mtoto wake, lakini Bugando pamekuwa mbali… Labda kwa sababu Hamida si mtoto wa kiongozi," walidai askari hao walioomba kuhifadhiwa majina yao.

Vedastus Kitwanga na rafiki yake Gasper Mroso, walifariki ajalini kwa kugongwa na gari wakati walipokwenda kumsaidia mwenzao aliyekuwa amepata ajali eneo hilo, ambako wakati WP Hamida akiendelea kupima ajali hiyo, ghafla lilitokea gari lingine na kuwagonga wote.

Inaelezwa kuwa, awali mwenzao huyo alimpigia simu Mroso kumwomba afike eneo la ajali, ambaye naye alimpigia simu mtoto wa Kitwanga na wakati wakiwa eneo la ajali ndipo likatokea gari lingine likawagonga na kusababisha kifo cha Vedastus pale pale huku Mroso akisagika vibaya miguu yote na kufariki kesho yake akipata matibabu Bugando.
WP Hamida ambaye ni askari wa kituo cha Nyamagana jijini hapa, alijeruhiwa vibaya ambako amelazwa Bugando pamoja na Kombo Mohamed aliyekatika miguu yote.

Kwa maoni yangu polisi mmekuwa mkitumika vibaya kudhibiti wanaohoji na kudai haki zao na ndio maana hao akina naniiii wanaona hmna lolote na si chochote. mjfunze kutokana na makosa. lakini kuna askali wengine wana akili sana wakati wa uchaguzi huwa hawafanyi kosa kwa watu wa aina hii

Chanzo: Tanzania Daima
 
kwa kweli kayanza kapinda!!!!
 
Kwani lazima kutembelewa na waziri anamajukumu ya kitaifa
 
Wenzenu wanaangalia wapi wataongeza kura ifikapo 2015 wakati nyie Askari bado mpo usingizini mkifikiri mko pamoja nao...
Ila Askari wa Mwanza walinifurahisha jinsi walivyomtosa Masha 2010...nawapa zote tano!
 
HATUA ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenda kuhani msiba wa mtoto wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga ‘Mawe Matatu’, bila kufika hospitalini Bugando kumjulia hali askari aliyejeruhiwa vibaya wakati akipima ajali iliyosababisha kifo hicho, imewakera askari polisi wakidai hawathaminiwi.

Pinda ambaye alikuwa mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya Taasisi ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa, alifika nyumbani kwa Kitwanga eneo la Misungwi juzi, kuhani msiba wa mtoto huyo, Vedastus Kitwanga, aliyepata ajali mbaya Agosti 19 mwaka huu, eneo la Njia Panda ya barabara ya Tanesco na Bandari wakati akimsaidia mwenzake aliyekuwa amepata ajali awali.

Wengine waliyofika kwa Kitwanga ni Mzee Mkapa na Mama Salma Kikwete, ambapo baadhi ya askari waliliambia gazeti hili kwamba, kitendo hicho cha viongozi kuishia nyumbani kwa kiongozi mwenzao pasipo kwenda Bugando kumjulia hali askari aliyejeruhiwa akitimiza majukumu ya kitaifa ni ubaguzi na kutowathamini.

“Sawa wana utashi wa kwenda kumfariji yeyote, lakini huyu askari mwenzetu WP 4132 Koplo Hamida aliyelazwa Bugando alijeruhiwa wakati akipima ajali iliyosababisha kifo cha mtoto wa Kitwanga. Huyu naye bado alihitaji faraja ya viongozi wetu hao, ila hawakufanya hivyo.

“Pinda alikuwa hapa mjini, ameendesha vikao vya CCM usiku na kutangaza nia ya kugombea urais, halafu kesho yake akapata muda wa kwenda Wilaya nyingine ya Misungwi kwa Kitwanga kuhani msiba wa mtoto wake, lakini Bugando pamekuwa mbali… Labda kwa sababu Hamida si mtoto wa kiongozi,” walidai askari hao walioomba kuhifadhiwa majina yao.

Vedastus Kitwanga na rafiki yake Gasper Mroso, walifariki ajalini kwa kugongwa na gari wakati walipokwenda kumsaidia mwenzao aliyekuwa amepata ajali eneo hilo, ambako wakati WP Hamida akiendelea kupima ajali hiyo, ghafla lilitokea gari lingine na kuwagonga wote.

Inaelezwa kuwa, awali mwenzao huyo alimpigia simu Mroso kumwomba afike eneo la ajali, ambaye naye alimpigia simu mtoto wa Kitwanga na wakati wakiwa eneo la ajali ndipo likatokea gari lingine likawagonga na kusababisha kifo cha Vedastus pale pale huku Mroso akisagika vibaya miguu yote na kufariki kesho yake akipata matibabu Bugando.
WP Hamida ambaye ni askari wa kituo cha Nyamagana jijini hapa, alijeruhiwa vibaya ambako amelazwa Bugando pamoja na Kombo Mohamed aliyekatika miguu yote.

Kwa maoni yangu polisi mmekuwa mkitumika vibaya kudhibiti wanaohoji na kudai haki zao na ndio maana hao akina naniiii wanaona hmna lolote na si chochote. mjfunze kutokana na makosa. lakini kuna askali wengine wana akili sana wakati wa uchaguzi huwa hawafanyi kosa kwa watu wa aina hii

Naomba ufanye uchunguzi sawasawa ,nafikiri Gasper Mroso, hakufariki ila kalazwa Bugando.Hii ni kwa mujibu wa mtu anayefahamiana na Gasper.
 
Maweeee ajali kila kukicha magamba wameshaanza kutoa kafara.RIP wote mliopoteza maisha.
 
unaongelea polisi wapi? hawa wanaolawiti watuhumiwa?

HATUA ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenda kuhani msiba wa mtoto wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga ‘Mawe Matatu', bila kufika hospitalini Bugando kumjulia hali askari aliyejeruhiwa vibaya wakati akipima ajali iliyosababisha kifo hicho, imewakera askari polisi wakidai hawathaminiwi.

Pinda ambaye alikuwa mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya Taasisi ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa, alifika nyumbani kwa Kitwanga eneo la Misungwi juzi, kuhani msiba wa mtoto huyo, Vedastus Kitwanga, aliyepata ajali mbaya Agosti 19 mwaka huu, eneo la Njia Panda ya barabara ya Tanesco na Bandari wakati akimsaidia mwenzake aliyekuwa amepata ajali awali.

Wengine waliyofika kwa Kitwanga ni Mzee Mkapa na Mama Salma Kikwete, ambapo baadhi ya askari waliliambia gazeti hili kwamba, kitendo hicho cha viongozi kuishia nyumbani kwa kiongozi mwenzao pasipo kwenda Bugando kumjulia hali askari aliyejeruhiwa akitimiza majukumu ya kitaifa ni ubaguzi na kutowathamini.

"Sawa wana utashi wa kwenda kumfariji yeyote, lakini huyu askari mwenzetu WP 4132 Koplo Hamida aliyelazwa Bugando alijeruhiwa wakati akipima ajali iliyosababisha kifo cha mtoto wa Kitwanga. Huyu naye bado alihitaji faraja ya viongozi wetu hao, ila hawakufanya hivyo.

"Pinda alikuwa hapa mjini, ameendesha vikao vya CCM usiku na kutangaza nia ya kugombea urais, halafu kesho yake akapata muda wa kwenda Wilaya nyingine ya Misungwi kwa Kitwanga kuhani msiba wa mtoto wake, lakini Bugando pamekuwa mbali… Labda kwa sababu Hamida si mtoto wa kiongozi," walidai askari hao walioomba kuhifadhiwa majina yao.

Vedastus Kitwanga na rafiki yake Gasper Mroso, walifariki ajalini kwa kugongwa na gari wakati walipokwenda kumsaidia mwenzao aliyekuwa amepata ajali eneo hilo, ambako wakati WP Hamida akiendelea kupima ajali hiyo, ghafla lilitokea gari lingine na kuwagonga wote.

Inaelezwa kuwa, awali mwenzao huyo alimpigia simu Mroso kumwomba afike eneo la ajali, ambaye naye alimpigia simu mtoto wa Kitwanga na wakati wakiwa eneo la ajali ndipo likatokea gari lingine likawagonga na kusababisha kifo cha Vedastus pale pale huku Mroso akisagika vibaya miguu yote na kufariki kesho yake akipata matibabu Bugando.
WP Hamida ambaye ni askari wa kituo cha Nyamagana jijini hapa, alijeruhiwa vibaya ambako amelazwa Bugando pamoja na Kombo Mohamed aliyekatika miguu yote.

Kwa maoni yangu polisi mmekuwa mkitumika vibaya kudhibiti wanaohoji na kudai haki zao na ndio maana hao akina naniiii wanaona hmna lolote na si chochote. mjfunze kutokana na makosa. lakini kuna askali wengine wana akili sana wakati wa uchaguzi huwa hawafanyi kosa kwa watu wa aina hii

Chanzo: Tanzania Daima
 
Haya matukio ya ajali moja kutokea ikasababisha nyingine yamekuwa mengi sana siku hizi kunani hukoo,japokuwa askar ni ndugu zetu kuna wakat kujibest kunazidi, na sisi raia hatuwahurumii wala nn acha wakome.
 
Poleni sana Wafiwaa na wale walioko Bugando Hospital, Mwenyenz Mungu awajalie wote.
Muhimu ni kuomba apelekwe INDIA or SOUTH AFRICA kw matibabu zaidiiii kuliko kwenda kusalimiwa Hospital.....,
 
dah ni kweli mkuu.
 
polisi nao wamezidi kujipendekeza kwa maenterehamwe;sasa kazi waione.
 
Hivi yale makarai yanayotumika kujengea nyumba na nyumba inapomalizika huwa yanapelekwa wapi vile ndo police wetu hao.
 
RIP vedastus my school mate Mzumbe secondary. jamaa alikuwa kichwa sana HGL ingawa alikuwa na A ya hesabu o level. kifo Chao kimenigusa
 
Hamida ni gaidi na gaidi yeyote hana thamani hata akiwa ni askari! Angekuwa Koplo Jesca ungeona wanavyomiminika kumuona!
Si umeona viongozi Wa uamsho walivuofanyiwa na nani anajali???
Ni sehemu ya mkakati.....
 
Naomba ufanye uchunguzi sawasawa ,nafikiri Gasper Mroso, hakufariki ila kalazwa Bugando.Hii ni kwa mujibu wa mtu anayefahamiana na Gasper.

Mkuu naye arifariki na mazishi yalifanyika juzi Moshi. RIP guyz
 
Back
Top Bottom