Pinda avunja ukimya alivyokatwa Dodoma

Pinda avunja ukimya alivyokatwa Dodoma

Hakuna namna sasa ni kumtafuta tu.....jana alkuwa Nane nane Mbeya!
 
Sasa tunataka waziri mkuu "aliyenyooka"!
 
Tangu kumalizika mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama kile, mh Kayanza Peter hasikiki, mbaya zaidi chama, vyombo vya habari na hata serikali hakuna anayeeleza aliko!
Mim ninauliza yuko wapi mzee wetu, maana hakuna namna nyingine sasa ya kujua aliko!

hata kwenye nane ya mwisho kitaifa kagoma kwenda anaasira alivyodhalilishwaa
 
Ajifiche tu kwa sababu hamna namna nyingine nami nasema ajifiche
 
Huyu hapa
 

Attachments

  • 1439126239057.jpg
    1439126239057.jpg
    77 KB · Views: 400
Ktk maonesho ya nanenane alisema "nilitamani sana kuwa rais wa tanzania lakini sasa nimebaki 'rais wa fikra' akimaanisha ndoto zake zimeyeyuka CHANZO: Mwananchi 9/8
 
Kakatwa tu, sasa unamtafuta aliyekatwa, alijifanya mjanja sana kuliko wote, akadanganya hataki siasa tena, lakini kaota watanzania wote mburura, akashauriwa asidhani hivyo lakini yeye akaona ni jeuri zaidi na amesomea sharia zaidi na kuaminiwa sana na mkulu wake, akafikiri machozi ya bungeni yataonewa huruma na wanaomzunguka na wananchi wenye kuvaa kijani na njano. Mimi name nasema kwamba acha akatwe tu, ashukuru namba ya umri inaweza kumzuia mwaka 2020 pia na tena harufu mbaya aliyoiacha kule lango la magogoni litaendelea kumwandama, kwani machozi ya maalbino kumbe ilikuwa usanii tu, akikatwa hawezi kuonekana tena, unamtafuta wapi labda kwenye jalala, si umesikia wakulu wake wamesema ni makapi?

Amekatwa ?acheni utani.angeamuru wapigwe.chezea raisi wa fikra!!!
 
Huyu mzee na wenzie G.BILALI, A.RAMADHANI, CHEMBA, MASUPU, TYSON. na
wengine wengi siwezi kuwataja inasemekana hawana MAADILI. Ndiyo maana walikatwa.
 
Jana alikuwa nane nane mbeya akihitimisha maonesho
 
Ratiba ya Kampeni za Ukawa:
KIKOSI CHA CDM 2015:
*Chopa 10
*Mabasi 30
*Magari madogomadogo 500
*Bodaboda 6500
*Baskeli 3000
*ESTER BULAYA
*LEMBELI
*JOHN HECHE
Watafanya kampeni mwanza
musoma na tabora.
*TUNDU LISU
*MAKAIDI
watafanya kampeni singida na
Dodoma
*SUGU
*PROF J,
*ADAM ZELLA
*MSIGWA
Watafanya kampeni mbeya,
Iringa morogoro na ruvuma
*LEMA
*JOSHUA NASSARI
Watafanya kampeni mikoa ya
arusha Kilimanjaro na
manyara,Lindi ,mtwara na pwani.
*KAFULILA
*MBATIA
*RWAKATARE
*KUBENEA
*MARANDO
*MTATIRO
Watafanya kampeni D,salaam na
Zanzibar.
*SALUM MWALIMU
*MAALIM SEIF
*PLUS TEAM CUF
*JUMA DUNI
*MNYIKA MBOWE
Hawa watazunguka nchi nzima
bila kujali kanda.
*TEAM LOWASSA
Hawa watatembea nyumba kwa
nyumba
*M4C
Hawa watatembea Kata kwa
Kata.
*FRIENDS of LOWASSA Hawa
watatapakaa nchi nzima kuleta
ushawishi plus CDMA intelligencia
watatapakaa nchi nzima kubain
wizi, njama na mipango mibaya
ya ccm.
 
Amekatwa ?acheni utani.angeamuru wapigwe.chezea raisi wa fikra!!!

Mkuu, mbona alishaamuru akageuziwa kibao. Kukatwa ni mbaya zaidi kuliko kupigwa tu ujue.....
 
Ktk maonesho ya nanenane alisema "nilitamani sana kuwa rais wa tanzania lakini sasa nimebaki 'rais wa fikra' akimaanisha ndoto zake zimeyeyuka CHANZO: Mwananchi 9/8

Asikate tamaa,ajaribu tena 2020.
 
Huyu mzee na wenzie G.BILALI, A.RAMADHANI, CHEMBA, MASUPU, TYSON. na
wengine wengi siwezi kuwataja inasemekana hawana MAADILI. Ndiyo maana walikatwa.

Bilali wanamwonea mzee wa watu,mpole vile.
 
Ratiba ya Kampeni za Ukawa:
KIKOSI CHA CDM 2015:
*Chopa 10
*Mabasi 30
*Magari madogomadogo 500
*Bodaboda 6500
*Baskeli 3000
*ESTER BULAYA
*LEMBELI
*JOHN HECHE
Watafanya kampeni mwanza
musoma na tabora.
*TUNDU LISU
*MAKAIDI
watafanya kampeni singida na
Dodoma
*SUGU
*PROF J,
*ADAM ZELLA
*MSIGWA
Watafanya kampeni mbeya,
Iringa morogoro na ruvuma
*LEMA
*JOSHUA NASSARI
Watafanya kampeni mikoa ya
arusha Kilimanjaro na
manyara,Lindi ,mtwara na pwani.
*KAFULILA
*MBATIA
*RWAKATARE
*KUBENEA
*MARANDO
*MTATIRO
Watafanya kampeni D,salaam na
Zanzibar.
*SALUM MWALIMU
*MAALIM SEIF
*PLUS TEAM CUF
*JUMA DUNI
*MNYIKA MBOWE
Hawa watazunguka nchi nzima
bila kujali kanda.
*TEAM LOWASSA
Hawa watatembea nyumba kwa
nyumba
*M4C
Hawa watatembea Kata kwa
Kata.
*FRIENDS of LOWASSA Hawa
watatapakaa nchi nzima kuleta
ushawishi plus CDMA intelligencia
watatapakaa nchi nzima kubain
wizi, njama na mipango mibaya
ya ccm.

Duh!,mmejipanga kwelikweli!!!.
 
Back
Top Bottom