Pinda aingia mitini kukwepa BVR!

Acha kuongea upuuzi, unaweza thibitisha unachokisema

Samahani najua wewe kada mzuri tuu kama mgombea wako hajaanza mchakato usiniletee Jazba zako kwangu.
Pinda leo kasepa makinda mwenyewe juzi alishindwa kujibu mnyika akamwambia sio mahali pake.
Sihitaji kudhibitisha wakati kila siku tunaashuhudia.
 
Wao walidhani APril 30 ingekuwa 2017
 
Samahani najua wewe kada mzuri tuu kama mgombea wako hajaanza mchakato usiniletee Jazba zako kwangu.
Pinda leo kasepa makinda mwenyewe juzi alishindwa kujibu mnyika akamwambia sio mahali pake.
Sihitaji kudhibitisha wakati kila siku tunaashuhudia.
Sasa akiwa mkazi wa Lithuli si ndo atakua anajificha kabatini pindi akitakiwa kutoa maelezo ya nchi,
 
kiukweli hali ya serikali ni mbaya,kuna siku itashindwa kulipa mishahara
 
Kama Jaji Lubuva ametamka hayo basi anastahili kupongezwa kwa kutokuyumbishwa.
 
Hahahahaaaaa sirikaliiiiiiiii ya wahuni
 
Pinda, Sitta na Membe wanaihujumu Serikali ya JK... bahati mbaya sana mwenyewe bado amelala usingizi fofooo....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…