Katika kuthibitisha ubabaishaji wa serikali hii, leo hii waziri mkuu Pinda ameingia mitini kukwepa maswali ya papo kwa papo kama ilivyo ada siku za Alhamisi. Pinda na serikali yake wamekuwa wakilitolea majibu ya kisiasa kwa upande mmoja huku tume ikitoa majibu tofauti.
Hivi karibuni akihojiwa na kituo cha EATV mwenyekiti wa tume Jaji Lubuva alisema watanzania wasome sheria wajue nani anayepaswa kutangaza tarehe ya kura ya maoni na waache kusikiliza kila mtu. Siku za karibuni Kikwete, Pinda na Dr Migiro wanenukuliwa wakisema kura ya maoni iko pale pale April 30.
Hili lilisubiri leo ili kujulikana. . . . . . .??!!!
Pinda ndue raus ajae tuna muamun kwa maamuz yake
God Forbid ...
Leo nimemsoma ripoti ya UTAFITI ya REPOA ...inasema asilimia Zaidi ya 67 % walioojiwa walisema umasikini umeongezeka katika Siku Za karibuni Sana ,Hii ni toka asilimia 42% ...
Asilimia 50 % ya Watanzania wamesema hawaridhiki na utendaji kazi serikalini
Watanzania 7 Kati ya 10 walioojiwa wamekosoa utoaji wa huduma Za Jamii
Asilimia 71 ya Watanzania ...,wamesema RUSHWA imeongeza ..
Asilimia 74 % ya Watanzania hawajui Serikali inafanyia nini Kodi Zao
pinda ni mgonjwa
Pinda anazeeka vibaya sana
Sasa mlitaka Pinda alielie hovyo pale mjengoni?Kasepa na yeye ameanzisha utaratibu wakupokea makundi mbalimbali wakimtaka achukue form.
Sasa hivi kiongozi unayetegemea kitu hutakiwi kupiga Porojo za uongo zinakuharibia.