Pinda kadanganya tena bungeni.kwa mujibu wa muongozo alioomba mh.mnyika ni kuwa pinda katoa maelezo ya uongo bungeni kuhusu mabaraza ya katiba.spika kasema atatoa mwongozo kesho kwa kuwa leo hana majibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.