Astaghfurah, ustadh ana-search Kipochi manyoya, Pombe sio chai, wanaweza wakagongana hapohapo..!au sio
Genye kikohozi,atii
Inabidi upunguze muwasho then tiba kamili ifate.
au sio
ha ha ha ha ha yani kabisa live live
••••••au sio
hiyo ndio tofauti ya mwafrika na mzungu. mwafrika anapima oil mbele, mzungu anapima oil kwenyemimavi nnya. hapo waulize muke ya muzungu wa hapa bongo watoe maelezo kwao huwa inakuwaje.Watu wanapima
••••••au sio
Afu ukiletwa nyama choma ama mchemsho anakula tu bila hata kunawa mikono,
Wana nawa....