24 mbona wachache au unamatatizo ya nguvu za kiume ?
24 episode zote?Ni kawaida katika maisha kupima mafanikio ya mambo unayoyafanya ukiwa hai duniani. Mara nyingi watu wengi hujipima kwa mambo ambayo ni ya kawaida kama vile wamejenga nyumba ngapi, wamezalisha faida ya shilingi ngapi, wamepata magari/usafiri mangapi, wamevuna kiasi gani.
hebu leo tujiulize umefanya kile kitendo cha unyumba na wanaume au wanawake tofauti (kutegemeana na jinsia yako) wangapi?
Je umefikia lengo (idadi) uliyojipangia?
Mie nimefikisha 24 naona lengo limetimia wakiongezeka zaidi ya hao ni majanga.
Huo mche wako unafahamika na wanawake wengi heri mimi nina wawili tu kwa mama mmoja
😀24 Halafu unaiita sehemu ya siri hiyo ya umma
hhahahahahaha kweli hiyo siyo sehemu ya siri kabisa.24 Halafu unaiita sehemu ya siri hiyo ya umma
hhahahahahaha kweli hiyo siyo sehemu ya siri kabisa.
uwiiii mbavu zangu mie hiyo sehemu yake iitwe sehemu ya umma
Eee 24?....heri yangu mi mmoja tu toka nizaliwe
yaan Mkuu utarepea mbavu zangu ujue?? hahahahahahahhahahhaahaaaahahhahaha kabisa maana watu 24 kuiona sio mchezo wengine wameinyonya ina siri gani hiyooooo
24 mbona wachache au unamatatizo ya nguvu za kiume ?
yaan Mkuu utarepea mbavu zangu ujue?? hahahahahahahhahahhaahaaaa
hahahahahaaaaa kweli aisee maana hata mimi anayejua point (alama)kwenye mwili wangu namuheshimu sana aisee.hahahahaha sifa ya mwanaume ugumu wasituletee upuuzi kuvua vua chupi ndo ujanja FICHA KABISA MALI BINAFSI UKIONA UNAGAWA YA UMMA HIYO cha woteeeeeeeeeeee hahahahah