mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Tofauti ni kwamba moja iko kushoto na nyingine iko kulia.
Ukiangalia picha ya upande wa kushoto ubavu wa kushoto jezi ina kama background ya rangi ya bluu angalipo upande wa kulia ubavu huohuo wa kushoto jezi ina rangi inayoendana na upande mzima(nyekundu)
Sawa basi :smile-big:Hata mie nimeona hapo hata kabla ya kusoma comment yako
Ukiangalia picha ya upande wa kushoto ubavu wa kushoto jezi ina kama background ya rangi ya bluu angalipo upande wa kulia ubavu huohuo wa kushoto jezi ina rangi inayoendana na upande mzima(nyekundu)
mshana njoo
mgongoni tenaMoja feki nyengine Orijinolii
Moja ina baka la blue mgongoni nyengine haina