Pima macho yako

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Tafuta mtu hapo
 

Attachments

  • 1422797750867.jpg
    37.6 KB · Views: 830
Mtu amepozi kwenye kisiki hapo .....ni kama ameegama
 
Mguu wa kushoto kaunyoosha na wa kulia upo kwenye gogo,
Mkono wa kushoto kauzungushia kichwani na kulia upo kwenye gogo.
 
duh waliomchora huyo mtu ni noma... watu wako serious na kazi
 
Ningekua wa kwanza kutoa maoni ningechemka pengine ulivyosema pima macho asee yangu yangekua kilo buku,
 
Wachoraji na wachongaji wengi wao wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri namna ya kufikisha ujumbe, ndo mana sanaa yao c kila mtu anaweza kuipenda maana kupata ujumbe nako ni shughuli nyingine.
 
hakuna mtu

Duh!! Mtu yupo upande wa pili wa picha ameshika camera amepiga hii picha


Spiderman

Ningekua wa kwanza kutoa maoni ningechemka pengine ulivyosema pima macho asee yangu yangekua kilo buku,

Mtu yupo kapozi hapo kwenye.hicho kisik, huo unaona kama ni mkia ni mguu wake, then kaweka na mkono kichwani chunguza vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…