Binam hujalala tu bado.............umekosa.
Ndo mana nkasema ujibu vizuri nilijua tu unaleta ujanja umekosaaaaaa,TRY AGAIN.
Yumo tumboni, siunaona huyo anamimba!
Si anatakiwa huyo zebra awe anaonekana?
Mmmmmh binam mchana yote ulikuwa wapi jmn.
Yumo tumboni, siunaona huyo anamimba!