Pima macho yako hapa

Hahahaha...umekunywa ngapi kwani?? Ukilaza nakataa...nakusoma sana hapa.
Siju nimekunywa ngapi... mpaka mhudumu aniletee bill... Na hapo ndipo wanaponipiga bao hawa wafanyakazi bora wa bar wasiojua kusema NO ukiwaomba papuchi
 
Siju nimekunywa ngapi... mpaka mhudumu aniletee bill... Na hapo ndipo wanaponipiga bao hawa wafanyakazi bora wa bar wasiojua kusema NO ukiwaomba papuchi
Sasa kwanini hao wanagoma na bili wanaongeza??
 
Nimekimbia fasta nikidhani tunapima macho na liwowowo la maana. [emoji15] Wewe jamaa bana.
 
Tangia jana naangalia nikaona noma nisiseme hadi mda huu sijaambulia kitu
 
Mtu kavaa kofia kam ya mviringo ivi, ana ndevu afu sijui kam mzungu ivi mkuu, sikio ndo kofia
 
Yani imebidi kuita wadau ndo wamenionesha hiyo picha ya mtu...

Kwa hapo nimekubali mi ni kilaza au kama si kilaza basi Konyagi sio pombe nzuri...
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…